Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

Hapo ndo mjue Rais Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.

Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
Acha upuuzi mkishiba maharagwe mnywe maji
 
Huyo ndio rais wako
Sijawahi mchagua,na sito Ni sawa na kuikosea nafsi yangu na kumkufuru Mungu,kukiuka hio nadhiri Ni sawa na kuhalalisha mtz mwenzangu kuuwawa,kusomeshwa namba,kubambikwa kesi,kufa na njaa,kubomolewa nyumba yake,ung'ang'anizi wa madaraka.
 
Mkuu bado tupo nyuma sana kisiasa, kwani wewe ulitaka aseme nini ? Any politician you know is selfish.
 
Hapo ndo mjue Rais Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.

Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
Hapo hakuna ugenious wowote.

Analipa fadhila kwa kumkata.

Na anaweza asimpe chochote uchaguzi ukishaisha. Hakuna la kumfanya.
 
Mkuu bado tupo nyuma sana kisiasa, kwani wewe ulitaka aseme nini ? Any politician you know is selfish.
ni kweli kila mwanasiasa ni mlafi na mbinafsi. Lakini kwa hili la masele jamaa amepata tabu sana kumnadi katambi. Katambi naye hata charisma ya kujinadi pia hana.
 
Kwanini huyo kitimbi asipewe huo ukuu wa mkoa au Ubalozi kwani kuna shida gani hapo
Mjomba anapenda wanaoikosoa upinzani waziwazi na fact na ukiangalia katambi kwenye siasa za uongeaji yupo fit na hivi alikua mwenyekiti bavicha bas nondo za kuikanyaga CDM anaztoa kwenye historia tu na ndo maana mkubwa wa kazi kamuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…