Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Anza wewe kuiandika utuwekee hapa kazi ya rais. Ila uwe na katiba pembeni
 

Sijafuta kauli yeyote. Na kwa uelewa na uzoefu wangu kuhusu biashara na fedha sihitaji mtu kunipa majibu ili nijue kuwa hii project ina returns au la. Numbers don't lie. Public entities zote kisheria zinapaswa kutangaza hadharani audited financial statements zao, aje mtu hapa aniambie returns zinazohusiana na moja kati "iconic" projects za Magufuli kati ya 2016 hadi leo hii ni ipi? ATCL mara ya mwisho walitangaza unaudited financial statements zao 2014, leo hii nani anajua wanachofanya in terms of financial performance?
Hayo mengine ni empty rhetorics kama alivyopata kusema nchi ina pesa nyingi kiasi cha kutoa misaada kwa nchi nyingine na pia kuwa atafufua viwanda vya nguo ili tuwauzie mitumba wazungu. Kipi kimefanyika hadi leo?
 
You are quite right WaTanzania siyo watu wa kusoma na kudadisi. Wakiambiwa mabeberu tayari wanadhani tunaibiwa madini. Kwenye sekta ya afya uwezo wa Tanzania ni kulipa mishahara ya watumishi wa wizara, kununua dawa muhimu (ambazo hazitoshi) na kujenga vituo vya afya. Mengineyo yote kama tiba za HIV/AIDS, Malaria, Tuberculosis, Chanjo za watoto, uzazi wa mpango nk zote zinatoka kwa wafadhili.

80% ya magari ya Wizara ya afya yanayosimamia utekelezaji wa tiba inatoka kwa hao wanaoitwa mabeberu.

Nchi inahangaika kupata USD 9.5 Milioni kwa ajili ya kupambana na Ebola na imaomba WHO na USAID. Shame watu hawajui
 
Word.
 
Ndio mnaponishangaza nyie wachumi wa nchi hii. Shirika lililokuwa na madeni lukuki limepata Ndege juzi mnataka kuona return leo. Hata wakitoa taarifa za kupungua kwa deni mnabeza. Ujenzi wa miundombinu ya usafiri, Meli, reli, na nishati haijakamilika mnataka kuona return leo, Kila kilichofanyika ktk kuboresha huduma za Afya, Elimu, ufugaji, nishati hakionekani mnataka taarifa rasmi za kwenye makaratasi, tena zisiwe za serikali ila zitolewe na Zitto. Ndiyo maana tumefikia mahali pa kusema ELIMU YETU NI YA HOVYO.
 
Kiukweli Zika haikuwepo na Mwele alisema uongo!
Mkuu are you sure? Small headed individuals with psychiatric personalities or behaviors have been in our communities for a long time? Nobody has proven its cause scientifically! I have been in Sumbawanga some years ago, to the best of my knowledge I could suspect such conditions to be there !
Our presdent might be right as well, but this should be scientifically proven beyond doubt.
 
Tusijadili kwa hisia, magu ana mapungu take, lakini UN/WHO wana missions zao ovu,
hakuna Ebola, dengue wala zika, kama zipo zinadhibitika, tunatengenezewa mazingira watu wapige hela tu.

Siku nilipojua kuwa UNHCR huwa wanasupply siraha kwa makundi hasimu. Nilichoka,
 
Hata mimi namwaamini Rais kwa hili
 
Mkuu, tupe mbinu za kuwakwepa ili tukae kivyetu bila kuwategemea kwa lolote lile.
 
Daah alafu kweli mkuu kwanini hili jambo kwetu hata watu hawahoji au madaktari hawasemi chochote?
 
Kuna watu waliniambia kuwa huyu mzee anapiga sana bangi na ndiyo maana hata Msukuma anaiongelea. Nashawishika kuamini maneno yao maana siyo kwa roporopo hizi tunazoziona.
 
Kuna comment nyingine ukizisoma zinashangaza sana..nadhani kuna wageni wengi walio ndani ya mipaka yetu..mwele anabahati labda kwa sababu ana jina la mstaafu..ile adhabu haikumtosha...ilikuwa ndogo mno.
jinga ww, hapo ulipo una dhiki had makalioni, uyo Mwele Kwaní amefanya baya lipi??? Kamtusi mungu wenu
 

Mwele, alisema, wanafanyia uchunguzi wa habari za uwepo wa ZIKA TANZANIA.

SIYO KUNA ZIKA TANZANIA
 



Mzee John Makecela,

umesikia tuhuma za binti yako?

Mzee, unafaidikaje na USOMI WA BINTI YAKO?

JE, NI KWELI ANATUMIWA NA MABEBERU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…