patrick80
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 737
- 607
Anataka Bint nae akaji NAPE kwakeBado ana chuki na yule mtoto masikini! Mungu atamlaani Jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka Bint nae akaji NAPE kwakeBado ana chuki na yule mtoto masikini! Mungu atamlaani Jiwe
Hapo waziri wa kipindi icho alimtoa kafara uyo mkurugenzi katika kutangazaHivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Mwele siyo mtoto! Ni bibi yule. Kumbuka alihitimu Udsm 1986 akiwa na miaka 23 au 24, Leo bado ni mtoto?? Alihitimu mwaka mmoja na aliyerithi nafasi yake pale NIMRI profesa Mgaya!!Bado ana chuki na yule mtoto masikini! Mungu atamlaani Jiwe
Hivi baada ya muda kidogo homa ya zika ililipuka nchini au haikulipuka? Nimesahau kidogo mwenye jibu tafadhari.Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!
Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.
'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Yeye alitoa matokeo ya tafiti, sasa kuuliza ugonjwa upo au la , hilo swali lingejibiwa na tafiti.Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!
Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.
'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Tunajua and yes tunajua wapigaji wengi wanapitia miradi ya ujenzi tu! alionja alipokuwa wizara ya ujenzi. Huyu ni mpigaji tu. ref. Vote 20 nani anajua kilicho ndani ya kodi yetu iliyopo vote 20? Hili ni jizi tu!!rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?