Wajanja wanapata fursa Kimataifa, wengine wakikalia siasa na maandamano,Diamond Platnumz akiongea na Times FM 100.5fm amesema Rais Magufuli alimpigia simu kumpongeza kwa kuchaguliwa kwenda kutumbuiza katika Kombe la Dunia huko Urusi mwezi wa June.
Na yeye Diamond anajipanga kabla ya kuondoka kwenda Ikulu kumuaga Mh Rais Magufuli ili kupata baraka zote za watanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhali bendera yetu na jina la nchi yetu likasikike huko Russia kupitia Diamond kwa maana Taifa Star bure kabisa wanamaliza ugali tu
Unaunguza mboga.Wajanja wanapata fursa Kimataifa, wengine wakikalia siasa na maandamano,
Pongezi nyingi kwako Diamond
Sema showoff zinasaidia si unaona mwenzake amealikwa kutumbuiza urusi kombe la dunia [emoji4] [emoji4] [emoji6]hata alikiba leo amepigiwa simu na magufuli ,kumpongeza wimbo wa seduce me, as hit song ,,,sema alikiba hapend show off kama domooo
Wakati wake mwache atambe na hongera zake sanaDiamond Platnumz akiongea na Times FM 100.5fm amesema Rais Magufuli alimpigia simu kumpongeza kwa kuchaguliwa kwenda kutumbuiza katika Kombe la Dunia huko Urusi mwezi wa June.
Na yeye Diamond anajipanga kabla ya kuondoka kwenda Ikulu kumuaga Mh Rais Magufuli ili kupata baraka zote za watanzania.
Nimecheka sana asante kwa kuimaliza vyema siku yanguhata alikiba leo amepigiwa simu na magufuli ,kumpongeza wimbo wa seduce me, as hit song ,,,sema alikiba hapend show off kama domooo