Rais Magufuli ampongeza Diamond Platnum kwa kuchaguliwa kutumbuiza Kombe la Dunia

Rais Magufuli ampongeza Diamond Platnum kwa kuchaguliwa kutumbuiza Kombe la Dunia

Diamond Platnumz akiongea na Times FM 100.5fm amesema Rais Magufuli alimpigia simu kumpongeza kwa kuchaguliwa kwenda kutumbuiza katika Kombe la Dunia huko Urusi mwezi wa June.

Na yeye Diamond anajipanga kabla ya kuondoka kwenda Ikulu kumuaga Mh Rais Magufuli ili kupata baraka zote za watanzania.
vip kunauwezekano akarudi na medali au kombe
 
Vipi vile vichupi kwenye wimbo wake mpya Raisi hajaviona?
 
aache longolongo uyo domo mbona kiba katumbwiza world cup 2014 na hajajitangaza mitandaoni kama uyo domo wenu
 
nyambafff...hii.inaitwa sindano.kalioni ...

dada shonza kwenye simu ya kijana uliyemfungia.nyimbo zake kuna namba za prezdaa....you better remove.the kufuli before its too late [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule bibi shida yake ni kukalia libolo fc, si kingine
 
hata alikiba leo amepigiwa simu na magufuli ,kumpongeza wimbo wa seduce me, as hit song ,,,sema alikiba hapend show off kama domooo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom