Ronzobe B29
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 242
- 89
hata alikiba leo amepigiwa simu na magufuli ,kumpongeza wimbo wa seduce me, as hit song ,,,sema alikiba hapend show off kama domooo
vip kunauwezekano akarudi na medali au kombeDiamond Platnumz akiongea na Times FM 100.5fm amesema Rais Magufuli alimpigia simu kumpongeza kwa kuchaguliwa kwenda kutumbuiza katika Kombe la Dunia huko Urusi mwezi wa June.
Na yeye Diamond anajipanga kabla ya kuondoka kwenda Ikulu kumuaga Mh Rais Magufuli ili kupata baraka zote za watanzania.
If hard work pay show me the rich donkeyHard work pays.. Sijui nimepatia maana hii lugha ya malikia bwana..
Aisee..If hard work pay show me the rich donkey
Yule bibi shida yake ni kukalia libolo fc, si kinginenyambafff...hii.inaitwa sindano.kalioni ...
dada shonza kwenye simu ya kijana uliyemfungia.nyimbo zake kuna namba za prezdaa....you better remove.the kufuli before its too late [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2]Yule bibi shida yake ni kukalia libolo fc, si kingine
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]hata alikiba leo amepigiwa simu na magufuli ,kumpongeza wimbo wa seduce me, as hit song ,,,sema alikiba hapend show off kama domooo