Rais Magufuli ampongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi

Rais Magufuli ampongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.

Magufuli.JPG
 
Hizi ni pongezi muhimu sana.
P

THE REPUBLIC OF MALAWI
IN THE HIGH COURT OF MALAWI
LILONGWE DISTRICT REGISTRY
CONSTITUTIONAL REFERENCE NO.l OF 2019​

Consequently, in terms of section 100 (4) of the PPEA, we hold that the Is* Respondent was not duly elected as President of the Republic of Mala wi during the 21 s‘ of May, 2019 elections. In the result, we hereby order the nullification of the said presidential elections. We further order that a fresh election to the office of the President be held in accordance with the PPEA and pursuant to the consequential directions that we make hereunder.
 
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.

Hivi yule mwizi alipo jitangaza kwamba yeye ni rais wa Malawi Mkuu hakumtumia salamu za pongezi kwa kuiba kura?? /
 
Mbona zimechelewa?!!!

Hajampa pole bw Mutharika??
 
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.

Ajiandae kuwapongeza akina Lissu pia.
 
Why so important salamu/pongezi? Kuupongeza upinzani? Kwani inatoka rohoni? Kwani Hakumpa Lisu pole? (mama Samia alitoa pole kwa niaba yake)
Ni unafiki tu japo linaumia rohoni lakini halikuwa na namna
 
Back
Top Bottom