Rais Magufuli ampongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi

Rais Magufuli ampongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi

Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.

Sijui kama kapiga simu lakini huo ndiyo utaratibu mzuri.
 
Nimeangalia mwanzo mwisho,ila Rais wetu anapata shida sana kutenganisha mambo ya kiserikali na chama
 
Back
Top Bottom