Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Why so important salamu/pongezi? Kuupongeza upinzani? Kwani inatoka rohoni? Kwani Hakumpa Lisu pole? (mama Samia alitoa pole kwa niaba yake)Hizi ni pongezi muhimu sana.
P
... itakuwa aliikimbia Corona huyu jamaa.Umepotea sana , ulikuwa wapi?
Hizi ni pongezi muhimu sana.
P
Na kweli!... itakuwa aliikimbia Corona huyu jamaa.
Hivi yule mwizi alipo jitangaza kwamba yeye ni rais wa Malawi Mkuu hakumtumia salamu za pongezi kwa kuiba kura?? /Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.
Muhimu Kwako? kwa Magufuli? au kwa Chikwera?Hizi ni pongezi muhimu sana.
P
Pongezi muhimu zaidi ni kutokana kwa mwenyekiti wa JUMUIA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA, inawezekana amesahau.Hizi ni pongezi muhimu sana.
P
Baada ya shambulio, rais Magufuli alitoa pole kwa Lissu.Why so important salamu/pongezi? Kuupongeza upinzani? Kwani inatoka rohoni? Kwani Hakumpa Lisu pole? (mama Samia alitoa pole kwa niaba yake)
Kama ni hivyo ikawaje yule mwingine akatumbuliwa!Why so important salamu/pongezi? Kuupongeza upinzani? Kwani inatoka rohoni? Kwani Hakumpa Lisu pole? (mama Samia alitoa pole kwa niaba yake)
Ajiandae kuwapongeza akina Lissu pia.Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.
Ni unafiki tu japo linaumia rohoni lakini halikuwa na namnaWhy so important salamu/pongezi? Kuupongeza upinzani? Kwani inatoka rohoni? Kwani Hakumpa Lisu pole? (mama Samia alitoa pole kwa niaba yake)
Hongera zako wewe kwa kumkumbusha wajibu wake na Kama hatakuteua kabla hajatupwa mbali mwezi wa Oktoba tutaelewa kwa nini ametupwa. Press Card haikutoshi bado unatafuta uteuzi?Hizi ni pongezi muhimu sana.
P