Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

Sawa! Omba tu Trump asiendelee kwani msimamo wa Marekani kuhusiana na uchaguzi uliofanyika 28.10.2020 bado huenda upo palapale.
 
Anajishtukia au. Huyo tukichunguza sana pale chamwino HAKUSTAHILI KUWEPO.
 
Mbona wewe hawajakupongeza ila wewe unajipendekeza kuwapongeza?
 
Kushindwa si kitu kizuri!
2025 ipo,subiri mkuu
 
Huko ubeberuni Madai ya kura feki na mawakala kutolewa nje yametolewa na Rais kabisa
Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.

Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
 
Eti on behalf, mimi simo
 
Hawa jamaa wa Ufipa walishaghilimisha bongo zao kitambo; wanajua Mzungu ndiye perfect super-human. Poleee
 
Angalau ka English kamenyooka leo
 
Rais wa Tanzania ni Lissu, iweje Magufuli yeye atoe salam kama Rais wa Tanzania?
nilikuwa kwenye mashimo nachimba madini zaidi ya wiki 2,ndo leo naingia mtandaoni naombeni majibu wakuu?

[emoji23][emoji23]
 
Magufuli ametumia nguvu nyingi kuandika kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23]

Hio tweet sio yake, itakuwa kabudi kamuandikia
Afadhali Rais JPM anajua vyema Kiingereza fasaha; vipi wewe usiyejua hata maneno sahihi & matumizi ya herufi kubwa na ndogo, "hio," "sio," "kabudi," "kiingereza." Pia, hujui wapi pa kuweka nukta. Nakushauri kuna chekechekea huku tunaanzisha, wahi usajili mapema kabla hujachelewa; bado nafasi mbili "two!"
 
Magu alivyo mnafiki na mdhulumati na alivyo tulazimisha na kututishia wasimamizi wa vituo vya uchaguzi,natamani jambo baya litokee kwake.Mm binafsi mtu mnafiki si mpendi kabisaaa anaejinyenyekeza mbele ya Mungu kumbe mnafiki mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…