Muda mwingine ukionyesha msimamo tuu hata kama upo sahihi unaonekana mkaidi... So inahitaji moyo.Inawezekana ni jambo dogo tu amefanya. Hizi nafasi za uteuzi wakati mwingine zinategemea damu za mteauji na mteuliwa zinavyoiviana. Mbona Makonda anafanya madudu lakini yupo tu!
Kama hujui kila mkoa una afisa jeshi kama mshauri wa Mgambo wa mkoa.JKT hadi mgambo!!?
Hivi makao makuu ya mgambo huwa yako wapi?
Swali zuri. Kweli Maj Gen aongoze mgambo?Makao makuu ya mgambo yako wapi aisee ?
Sio muda huyo jamaa analamba promotion na kuwa Meja JeneraliJKT linaongozwa na Brigadia General? Sio Major General?
Jiwe amevuruga sana seniority list ya jeshini. Ipo siku itatugharimuSio muda huyo jamaa analamba promotion na kuwa Meja Jenerali
Ila kumzidi ukubwa huyo alieenda kuwa mkuu wa mgambo sio kitoto
Vikundi vya JKT vya kwaya havijatunga nyimbo za kusifu! Chunguza utalijua hilo. Na ni kosa kubwa sana, muulize Nape
Yule ni amri jeshi mkuu Hakuna cha kumgarimu wala nnJiwe amevuruga sana seniority list ya jeshini. Ipo siku itatugharimu
Dah kwa jamaa yenu huyu hamna linaloshindikanaSwali zuri. Kweli Maj Gen aongoze mgambo?
Kigwangala ni mfano haiNafasi za uteuzi mkuu ni hatari sana inakufanya uwe mtumwa na unyenyekevu balaaa! Unaweza kuta alionyesha msimamo kidogo akaonekana hafai!! Au alifanya kosa kidogo tuu akaliwa kichwa
Kwanini unasema bahati mkuu? Kwani jamaa hakustahili cheo na nafasi hiyo?Mmmmh hii tumbua hamisha imefikia kwa hawa jamaa daàh, ila historia ya Mbuge ndo ujue bahati ipo duniani
Angalieni maandishi yenu kabla na baada ya kuweka bandiko. Hasa mnapoelezea vitu 'sensitive'Busungu aliyeuliwa kushika wadhifa wa juu ndani ya JKT, Februari 16 mwaka 2018 alichukua nafasi ya Meja Jenerali Michael Isamuhyo ambaye alistaafu.
Wewe ndio umechanganya,kwa hiyo unamaanisha amekua Mkuu wa Kikosi?Mgambo ni jina la Kikosi cha JKT, inaitwa KJ 835 - Mgambo JKT.
Msichanganye na hawa migambo wa mitaani.
Vikundi vya JKT vya kwaya havijatunga nyimbo za kusifu! Chunguza utalijua hilo. Na ni kosa kubwa sana, muulize Nape
Afande Mbughe ni mtu wa hamasa, anapenda sana vikundi vya muziki na kazi. Hajakaa sana Kibattle. Wale waliopita kwenye mikono yake enzi za Ruvu jkt watakuwa wanalijua hilo. Kipaumbele chake yeye ni kazi tuu hata kama mazoezi mpo shallow. Nilikuwa napenda tabia yake ya Kupenda kuja kucheza Disco la jeshi na Makuruta. Anafaa sana, Mungu azidi kumuinua.Vikundi vya JKT vya kwaya havijatunga nyimbo za kusifu! Chunguza utalijua hilo. Na ni kosa kubwa sana, muulize Nape
Ni "mutu" ya kutoka Mara.Looks like ni Iringa au Njombe
Neno hongera limekukaa sana kichwani.Ni jambo jema......hongera kwao wote!