Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kutumia vibaya madaraka yake ya Urais na ni kuvunja maadili yake yenyewe ya Tume ya uchaguziWakuu Salaam;
Mgombea Uraisi kupitia CCM kafanya uteuzi kama alivyoainisha Gerson. Sasa Sheria inasemaje kuhusu hili hasa ukizingatia ni kipindi cha kampeni?
View attachment 1584050
Kwa hiyo watu wasisitaafu hata wakifikisha umri wa kustaafu na wasiteuliwe wengine kujaza nafasi?Mwamboe jiwe ajikite kwenye kampeni, haya mambo mengine aachane nayo hayana tija kwake
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app