Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Hao wanafanta kazi za kawaida
Huyu anakwenda kuwa Chief wa TISS
Kazi za huyu ni tofauti na hao sijui madereva tax
Acha kuchanganya majukumu
Msalika alistahili apewe nafasi hii
Lkn Rais katiba inamruhusu ateue yyt yule ktk nafasi hii,naheshimu katiba

Una uhakika kua huyu hakua mfanyakazi wa TISS? unaijua organogram ya TISS? unawajua wafanyakazi wote wa TISS na vyeo vyao?
 
Una uhakika kua huyu hakua mfanyakazi wa TISS? unaijua organogram ya TISS? unawajua wafanyakazi wote wa TISS na vyeo vyao?
Kabla hajateuliwa alikuwa NIDA!
Hiyo inakuonyesha tu kuwa he was out of touch with TISS big fish
Nafunga mjadsla mkuu,nashukuru sana kwa input zako
 
Mmmh haya mashirika nyeti ya umma yana watu wa tiss wengi, kumbe huyu mzee alikuwa tiss, wapiga dili wamekwisha
Kwani walisaidia nini kwe hayo mashirika wakati ndiyo yanayoongoza kwa wizi na ufujaji wa mali za umma na mengi yanaendelea kufa? Hujamsikia Mafuru juzi anasema mpaka yanapanga foleni kwenda kuomba mishahara ya wafanyakazi??
Think big mkuu!!
 
Hao wanafanta kazi za kawaida
Huyu anakwenda kuwa Chief wa TISS
Kazi za huyu ni tofauti na hao sijui madereva tax
Acha kuchanganya majukumu
Msalika alistahili apewe nafasi hii
Lkn Rais katiba inamruhusu ateue yyt yule ktk nafasi hii,naheshimu katiba
Duh wabongo noma,hivi haya yote yanapatikana wapi,ndio maana mkwere alisema watu wana viwanda vya uzushi!
 
Kama wapo kwe mashirika tena kila kona mbona mashirika hayo yanazidi kufaa??? Hao TISS wamesaidia nini??
 
Hivi hzo kazi maalumu zimekua na manufaa gani kwa taifa miaka hamsini tuko pale pale. Sifa nyingine za kijinga tu.
Tumia akili yako kufikiri binafsi. Miaka hamsini tuko palepale!? Miaka hamsini nyuma ulikuwa na uwezo hata wa kuyasema hayo maneno yako?! Be respectfut in your country, labda kama ww sio mtanzania.
 
Uyu ndio mchambuaji wa wafanyakazi hewa kutokana na clip niliyoona umu
 
Wewe ulitaka nani ateuliwe?
 
Na huu ndio ukweli hasa ambao kina lizabon pamoja na kujifanya watu wa system hawaujui kabisa huu!
 
Kuna wengine wanashindwa kujua TISS inafanyaje kazi, ni kama mkondo wa umeme, negative in mhimu kufikia malengo. Wengine naona wanashupalia mbona vile mbona hivi kwa kuangalia positive side, ila wanasahau kujua mission ilikuwa ni nini. Tusifunze kusoma kutoka kulia kwenda kushoto, sio kushoto kwenda kulia muda wote, ili kuongeza maarifa, na muda mwingine tuwe wasomaji tu, sio kila uzi tuchangine hata kama uzi umetuzidi uwezo. Naomba niishie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…