Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.
Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia.
Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24 saa nne asubuhi Ikulu Chamwino.