Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
MheheKabila gani
Hii nafasi ilimfaa sana mzee MgayaNi jambo jema.
Navalonge swela!
Hahahaaaa....... Mzee Mgaya alishastaafu bwashee!Hii nafasi ilimfaa sana mzee Mgaya
Huyo siyo mzee,shida ndiyo zinamfanya aonekane Kama mzee.Hii nafasi ilimfaa sana mzee Mgaya
Mhehe ni mtani wa msukuma?Mhehe
Alikosekana kabisa msukuma?Mhehe
Wanatushughulikia sisi dagaa,hao wakuu wa mikoa, Wilaya,Yule mgogo wa mjengoni,na wengine Ni mapapa ktk bahari ya Bongo hivyo hawaguswi.Kamishina wa maadili!!?? Hizi nafasi zingine zinatajwa tu kisiasa lakini sijaona kama zina impact yoyote ya kushughulikia na kuwawajibisha wanaokiuka maadili, zaidi ya kupeana ulaji tu na kuongeza matumizi ya serilkali.
Ingekuwa hiyo ofisi ina meno hawa wakurugenzi, wakuu wa wilaya na mikoa wanaoongoza kukiuka maadili wangesha kuwa na nidhamu.
For me this tittle is absurdity
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Alikosekana kabisa msukuma?
Alikosekana kabisa msukuma?
Hamia Kenya BwasheeeHuu ujinga bwana
Tunataka katiba mpya
Copy and paste ya Kenya
How do I trust this nonsense I'm hearing aiseee!
Eti uteuziiii..
Swela muyago!Ni jambo jema.
Navalonge swela!
Leta hoja hapa wewe mtaka katiba mpya...Acha kukwepa hoja.."Tunataka Katiba Mpya"!
Toa justifications kwanini tusiwe na katiba mpya yenye kupunguza huu upumbavu wote?
Hiyo ndio hoja na sio "hamia Kenya"