Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Majaliwa kapitishwa kuwa PM sku yangu ya kuzaliwa tarehe 19 novemba
Labd na mimi ntakuja kuwa waziri mkuu sku moja
Maana saiv nna miaka 24
Now una 30yrs, mchakato wa kuukwaa u PM umefikia wapi?
 
Back
Top Bottom