D dopeboy Senior Member Joined Sep 22, 2014 Posts 121 Reaction score 100 Dec 3, 2015 #761 MeinKempf said: wikipedia inabadilishwa kirahisi hata wewe ungekuwa mwanachama (member wao) na umefikia rank flani unaruhusiwa ku add content kwenye wikipedia kwahiyo hicho sio kitu cha ajabu. Click to expand... nafaham ishu ni timing
MeinKempf said: wikipedia inabadilishwa kirahisi hata wewe ungekuwa mwanachama (member wao) na umefikia rank flani unaruhusiwa ku add content kwenye wikipedia kwahiyo hicho sio kitu cha ajabu. Click to expand... nafaham ishu ni timing
Mzee Mchopu JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 1,031 Reaction score 268 Dec 3, 2015 #762 Majaliwa kapitishwa kuwa PM sku yangu ya kuzaliwa tarehe 19 novemba Labd na mimi ntakuja kuwa waziri mkuu sku moja Maana saiv nna miaka 24
Majaliwa kapitishwa kuwa PM sku yangu ya kuzaliwa tarehe 19 novemba Labd na mimi ntakuja kuwa waziri mkuu sku moja Maana saiv nna miaka 24
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jun 3, 2021 #763 Hekoo
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Jun 3, 2021 #764 Mzee Mchopu said: Majaliwa kapitishwa kuwa PM sku yangu ya kuzaliwa tarehe 19 novemba Labd na mimi ntakuja kuwa waziri mkuu sku moja Maana saiv nna miaka 24 Click to expand... Now una 30yrs, mchakato wa kuukwaa u PM umefikia wapi?
Mzee Mchopu said: Majaliwa kapitishwa kuwa PM sku yangu ya kuzaliwa tarehe 19 novemba Labd na mimi ntakuja kuwa waziri mkuu sku moja Maana saiv nna miaka 24 Click to expand... Now una 30yrs, mchakato wa kuukwaa u PM umefikia wapi?
Ed Kawiche JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 2,987 Reaction score 5,566 Nov 8, 2024 #765 Siku zinayoyoma sana!