Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,132
- 1,407
Tumbo aliteuliwa wapi mkuuKweli kabisa mkuu, sasa hivi watakuwa wamebaki maprofesa wazee tu pale. Alianza Prof Tumbo na sasa hivi Prof Mpanduji
Amefanya uhamuzi wa busara mno.Dr. Mbando kaamua apumzike kutoka ukatibu mkuu uganga mkuu wa serikali hadi ukurugenzi wa hospitali
Wewe umeona mbali. Kwa kweli tunaua think tank ya nchi hii. Hawa watu wanapaswa kupewa maslahi mazuri na waachwe wabaki hukohuko vyuoni.Mkuu tatizo hizi teuzi zinamaliza wahadiri huko vyuoni.
Wadogo zako watafundishwa na nani waweze kuiva kama wewe??!!
Ukiachilia hilo huyu ndiye anakaribia kuwa rais atakayeweka historia ya uteuzi mwingi kuliko rais yeyote katika huu ulimwengu huu. Na zaidi ya hilo iweje ateue maprofesa ambao baadhi tunawajua ni weupe kichwanAnajaza watu wa ukanda wa ziwa hatariii
Hahahaha mpanduji ni ngosha mkuu yuko na kaka yake prof Donald mpanduji pale sua tafuta ukweli kabla ya kuandikaSafi cn kanifundisha cn na kanisimamia baadhi ya masomo wanao sema hyo jamaa ni msukuma waache uwongo c msukuma ukijua maana ya SIDO ndio utajuwa kwnn kamteuwa hyo prof
Uandishi kama huu pelekeni Facebook....ONGERA ndio kitu ganiOngera prof mpanduji
Tuelezee kuiva kwako kumeisaidia vipi nchi yetu?Hongera sana mwalimu wangu, Professor Mpanduji,....ulinifundisha kozi ya Agricultural Engineering katika kampasi ya Sohlomon Mhlangu na sasa nimekuwa mhandisi wa mitambo niliyeiva.
Unajibu mtu asiyejua hata kuandika.M
Hahahaha mpanduji ni ngosha mkuu yuko na kaka yake prof Donald mpanduji pale sua tafuta ukweli kabla ya kuandika
mkuu, kwani wewe unavyoona nchi hii haijasaidika chochote na wasomi au unataka kusema nini?Tuelezee kuiva kwako kumeisaidia vipi nchi yetu?
Hivi hujui kama wasukuma ndio waliamuwa mshindi wa Urais awe nani? Hizi hesabu huwezi kuzielewa kama huelewi kabila kubwa kuliko makabila yote ni kabila lipi.Saizi ukiwa na jina la Kisukuma tu unakamata shavu. Wakuu wa mikoa wasukuma wako tisa kati ya makabila 130 ya Tanzania
hebu tufahamishe vizuri mkuu. kwa hiyo pale SUA wapo maprofesa Mpanduji wawili? mimi profesa wangu wa Engineering ni huyu ambaye amepelekwa SIDO. alikuwa pale Department of Agricultural Engineering. je, huyo profesa Mpanduji mwingine yupo idara gani pale SUA?M
Hahahaha mpanduji ni ngosha mkuu yuko na kaka yake prof Donald mpanduji pale sua tafuta ukweli kabla ya kuandika
ndio maana kumbe umeamua kukaa pembeni kumbeeee? afadhali leo umeweka wazi ukweli.Kiukweli kama hujaenda shule kwenye serikali hii ya magufuli kaa pembeni kabisa.
hebu tufahamishe vizuri mkuu. kwa hiyo pale SUA wapo maprofesa Mpanduji wawili? mimi profesa wangu wa Engineering ni huyu ambaye amepelekwa SIDO. alikuwa pale Department of Agricultural Engineering. je, huyo profesa Mpanduji mwingine yupo idara gani pale SUA?
hapa ndipo penye tatizo mkuu...na akiondoka prof mzoefu wanabaki wahadhiri wa shule za kata ambao hata kimombo chao ni cha kuungaunga...ni shida lakini hakuna jinsi.Mkuu tatizo hizi teuzi zinamaliza wahadiri huko vyuoni.
Wadogo zako watafundishwa na nani waweze kuiva kama wewe??!!