Nahisi ndo mana katumbuliwa maswali na majibu tofautiNamuona mtumbuliwa dk 45 itv
Dah! Sasa huko vyuoni tutabakiwa na wahadhiri wenye uwezo wakuitwa wahadhiri?maana naona mkuu wa kaya anatunyanganya ma professor wote wazuri, huu ni mtizamo wangu binafsiDuu hongera ake, bonge la mwalimu asee, idara ya Uhandisi SUA inazidi kuondokewa na walimu wazuri....
Hongera sana mwalimu wangu, Professor Mpanduji,....ulinifundisha kozi ya Agricultural Engineering katika kampasi ya Sohlomon Mhlangu na sasa nimekuwa mhandisi wa mitambo niliyeiva.
Alikutakiwa asirushe maana uteuzi ulijulikana toka mchanaYaani hamuwezi kuamini. Wakati namaliza kusikiluza eng omari bakari, itv dak 45 cha Sam Mahera, nafungja jf nakuta uteuzi umetenguliwa. Its alitakiwa kuwa makini kurusha kipndi hicho
Acheni wivu,wasukuma tumepiga shule na tunachaguliwa kihalali kabisa,kama nyie mlikimbia umande poleniSaizi ukiwa na jina la Kisukuma tu unakamata shavu. Wakuu wa mikoa wasukuma wako tisa kati ya makabila 130 ya Tanzania
hili bandiko lako akiliona yule kamanda wa dares salaam atakushukia kama gwajima kwa uchochezi'' Sylvester '' Daah. akina ABDUL mtaisoma namba awamu hii. mtaishia kufuturishwa tu huku nchi ikiliwa na mashemasi.
CCM Mbele kwa mbele
uchochezi upi huo mkuuhili bandiko lako akiliona yule kamanda wa dares salaam atakushukia kama gwajima kwa uchochezi
Tumbo aliteuliwa wapi mkuu
Mpanduji ni mmoja tu nami alinifundisha Food Engineering (basic Drawing) pale SUA.Watu wakiiambiwa ni Vi.la.za wanafura ila kwa kufuatilia post hii wachangaiji zaidi ya 90% ni vila.za! Afu cha kuongeza,Mpanduji sio Msukuma ila ni bonge la Prof aise,naamini SIDO sasa ndo itashughurika vizuri na uundaji wa mashine ndogo ndogo kwa ajiri ya ujasirimali kwa gharama nafuuhebu tufahamishe vizuri mkuu. kwa hiyo pale SUA wapo maprofesa Mpanduji wawili? mimi profesa wangu wa Engineering ni huyu ambaye amepelekwa SIDO. alikuwa pale Department of Agricultural Engineering. je, huyo profesa Mpanduji mwingine yupo idara gani pale SUA?
Vibaraghashia hawana kitu refer matokeo ya form six ndo utajua hata mkulu anakosa wa kumchukua...maana wao ni kulaum tu kusoma hamna
Uteuzi bomba ila nafasi kama hizi si hata Waziri wa viwanda na biashara anaweza kuteua, na huyo mwingine hata waziri wa Afya anaweza kuteua!! Madaraka kwa Rais sasa ni kero.
hapo sasaaaaaMkuu tatizo hizi teuzi zinamaliza wahadiri huko vyuoni.
Wadogo zako watafundishwa na nani waweze kuiva kama wewe??!!