Mwita Buruji
Member
- Aug 14, 2015
- 94
- 79
Kwani nani kakwambia Mh. JPM ni Msukuma? Au unakisia tu. Pole sana. Katika awamu zilizopita nafasi zote za pesa zilishilikiliwa kwa miaka mingi na watalaam toka mkoa wa Kilimanjaro na watu hawakulalamika cha ajabu nini sasa?