Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Tatizo kila mtu anawaza kumfurahisha jiwe na siyo kufanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi. Mambo ni hovyo kabisa
 
Agenda ya kisiasa ndio ilijaa hapa kwani ndizo njia wanazotumia kuwakomoa wapinzani.
Kumbekeni biashara za Mbowe na mashamba aliyokuwa nayo miaka yote zilivyohujumia.
 

Ni mpaka uwe na utu.Utu means Pumzi ya Mungu ndani ya moyo wa binadamu.Kama shetani ndie aliyeweka pumzi ndani ya ni ngumu Sana kuwa na utu.Tunawatambua kwa matendo yao ni wale wote furaha yao ni kuona machozi ya wengine demonic spirit.
Mtu yeyeto aliyeelimika katu hawezi umiza wengine kupata furaha.
 
Hakika mkuu kuna mambo yanafanyika na walioshika dola mpaka unasema. Hivi huyu kiongozi ana roho ya utu kweli. Maana kuna matukio mengine yanafanyika,yamefanyika ila unakuta kiongozi anatoa tu majibu mepesi kwa kwa jambo ambalo linahitaji ufafanuzi wa kina.
 
Nmeamin hakika mtu akizeeka pia akili huzeeka
 
Wanaweza wasimbomolee lakini wakambana kwenye kodi hata kumbambikia,ccm ni zimwi.
 
Just being curious:
1. Ile ya Mbowe bado ipo?
2. Lissu alishawekeza cho chote nchini hapa?

Sugu karibu ccm Mwekezaji Sugu, tuijenge nchi yetu. Maendeleo hayana chama.
Wewe ni kama nyonya damu,unataka Lisu awekeze halafu akibomolewa amani ya kishetani itawale,ccm ni chaka la maovu
 
Yaani ...tulichomfanyia Mbowe iwe mwisho jamani.Tusiwafanyie wengine...Mbowe ni mtulivu ila sijui kama Sugu ni mtulivu
 
T
Tengeneza tatizo kisha litatue
 
Hii ilikuwa sarakasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…