gwantemala
Member
- Aug 9, 2016
- 22
- 5
Ndg:zangu wanatanzania wapenda maendeleo na wapenda Amani kwanza napenda kuchukua fursa hadhimu kwa mada hapo juu kumpongeza Mhe:Rais wa jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt Jonh Joseph Pombe Magufuli kwanza kwa ushindi wa karne na Dunia nzima ilizizima vyombo vyote vya habari vya Duniani vilikuwa Tanzania!
Kwa historia ya nchi hii tangu uhuru sijawahi kuona uchaguzi wa kihistoria kama ule pengine hata Afrika nzima hakujawahi kuwepo uchaguzi wa namna ile!!
Napenda niseme yakuwa ni muda umefika Afrika kuwa na Rais moja mwenye haiba kama ya Mhe Magufuli ikiwezekana tuanze na Urais wa EAC ili Magufuli awe rais wa nchi za Afrika mashariki bila shaka atafanya vizuri na baada ya hapo kuwa Rais wa (U.S.A.S) Maana yake UNITED STATE OF AFRICA STATES