game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
He/she is right, hatutaki kufikia mlipo nyie, siasa za Kenya zimejaa ukabila na ni chafu sana..Haitokuja muwe kama Kenya maana nyie maskini kwenye kila kitu, nchi maskini, raia wake maskini, elimu maskini yaani vitu vyote. Mna utajiri tu wa raslimali ambazo huwa zinaliwa na Wahindi na Wachina, sio mali zenu hizo.
Hata viongozi wa kenya wamejaa utoto vichwani.
BTW, magufuli is the best president yet, kwa maoni yangu.
Pamoja na mapungufu take kama binadamu lakini kwa nchi ilipokuwa imefikia we needed someone like him. And we got him
Nchi za Africa zinahitaji maendeleo kwanza, halafu the so called democracy ifuatie mbele . Democrasia na umaskini haviendani kamwe.