Hahahaha wakenya mtaumia sana, Magufuli anawalaza macho. Magufuli katika kipindi chake cha uongozi wa miaka mitatu sasa, amechaguliwa kuwa "the best president wa Africa miaka miwili mfululizo, na mwaka huu amekua namba mbili akitanguliwa na rais mstaafu wa Botswana.
Ukitaka kujua kwamba Magufuli ni very important president hapa Africa, ni hili gazeti la Ghana kuandika anachozungumza Magufuli, wanafuatilia kila abachofanya, hakuna rais anayrfuatiliwa hapa Africa kama Magufuli.
Hayo mazungumzo aliyosema abafuatilia, watanzania wote tumekua tukifuatilia posts za mawaziri mbalimbali katika Instagram zao, wengi tukiwashutumu kwa majibizano wanayofanya katika mitandao ya kijamii, iweje rais asifuatilie malombano hayo ili ajue kinachoendelea?.
Wakenyabajisikia wivu kwasababu Magufuli anafanya kazi yake ipasavyo, abawajuwa mawaziri na watendaji wake mwanzo mwisho, kila anayefanya vizuri anamjua na anayefanya vibaya anajulikana na anaondolewa. Hongera Magufuli.
Sent using
Jamii Forums mobile app