technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Una ubongo mdogo sana ndugu yangu. Hata nchi walizo lockdown ndege za mizigo ziliendelea kutua kama kawaida kwa ajili ya bidhaaInaonekana umeota usiku kucha, ila si agenda ilikuwa kufunga mipaka na mkasema uhai ni muhimu zaidi kuliko uchumi, What happened?
Sent using Jamii Forums mobile app
We waache ajira zipukutike na njaa ikishaingia ufahamu ndio unarejea ili watu waende kwenye box la kura na ghadhabuWatanzania wapumbavu wanaoshangilia mgogoro huu wakati wanajuwa kabisa mwisho wa siku watakao teseka ni wakulima wafugaji na wawekezaji wa Tanzania
Speak for yourself ,wewe siyo msemaji wa watanzania. Akili za ajabu kweli- unbelievable.Aliyeamua kufunga mpaka mwanzo na kusababisha usumbufu mkubwa ni Dr Magufuli kwa akili yako?
Naamini wewe siyo mtanzania. Watanzania tunafahamu jinsi ambavyo tumeongozwa kupita kwenye janga la corona bila usumbufu. Huko kwa majirani tumeona wenzetu vurugu mitaani, na moshi mkubwa ukitanda hewani. Sisi hapa kazi tu.
Ukisikia unafiki ndio huu sasa ... wanabadili gia muda wowote ule LENGO LIKIWA MOJA TU #PINGAPINGAInaonekana umeota usiku kucha, ila si agenda ilikuwa kufunga mipaka na mkasema uhai ni muhimu zaidi kuliko uchumi, What happened?
Sent using Jamii Forums mobile app
Speak for yourself ,wewe siyo msemaji wa watanzania. Akili za ajabu kweli- unbelievable.
Kwani wewe ni msemaji wa wakenya? Go to hell you ass!!Speak for yourself ,wewe siyo msemaji wa watanzania. Akili za ajabu kweli- unbelievable.
Tunataka tujue nani bingwa kati ya watz na nyinyi wakenya!We waache ajira zipukutike na njaa ikishaingia ufahamu ndio unarejea ili watu waende kwenye box la kura na ghadhabu
Naongea kwa uchungu sana
Fungulieni mikutano ya hadhara ya siasa ili tushindaneTunataka tujue nani bingwa kati ya watz na nyinyi wakenya!
Lockdown huwa haizuii mizigo bali ni watuUna ubongo mdogo sana ndugu yangu. Hata nchi walizo lockdown ndege za mizigo ziliendelea kutua kama kawaida kwa ajili ya bidhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia unafiki ndio huu sasa ... wanabadili gia muda wowote ule LENGO LIKIWA MOJA TU #PINGAPINGA