naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Sijaona chama cha upinzani mkuu Mimi ningejiunga nasema kutoka moyoni, tatizo tuna vyama vya ushindani tu na ndani ya hivyo vyama kuna vibaraka na kuna wachumia tumbo, kuna mmoja anatutukana kabisa atatulisha ubwabwa kama vile makwetu hatuli, Bora nibaki nilipo hadi hapo tutakapopata mpinzani wa kweliWatanzania hawaangalii hayo yote...hata ukiwaliza kwanini wanalisapoti jiwe hawana hata sababu ya msingi.
Acha tuteseke sote wanaounga juhudi na tunaopinga.