Uchaguzi 2020 Rais Magufuli anapoomba tumchague kwa miaka mingine mitano tusisahau pia

Watanzania hawaangalii hayo yote...hata ukiwaliza kwanini wanalisapoti jiwe hawana hata sababu ya msingi.
Acha tuteseke sote wanaounga juhudi na tunaopinga.
Sijaona chama cha upinzani mkuu Mimi ningejiunga nasema kutoka moyoni, tatizo tuna vyama vya ushindani tu na ndani ya hivyo vyama kuna vibaraka na kuna wachumia tumbo, kuna mmoja anatutukana kabisa atatulisha ubwabwa kama vile makwetu hatuli, Bora nibaki nilipo hadi hapo tutakapopata mpinzani wa kweli
 
Nimesoma na nimefuatilia hiki unachokiona hapa 👇 jibu unalo mwenyewe.

WEWE HUNA AKILI AU KAZI YA KUFANYA?
UMEWAONA UMATI HUO ANAOONGEA NAO HAPO?
ACHA KITUMIA MAT**KO KUFIKIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…