johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nyie ndyo mnasababisha tunatawaliwa na watu wenye ukichaaKuna watu watakuja kubisha na kupinga...japo hakuna jambo la kupinga hapo..! We subiri. CDM akili zao wanazijua wenyewe.
Ni kweli makamu mwenyekiti wa Chadema ni chizi fulani!Nyie ndyo mnasababisha tunatawaliwa na watu wenye ukichaa
Wazungu wanatafutana baada ya kuchanwa live!... sijui leo "ameongea" nini kuhusu Korona. Wekeni hapa tujadili hotuba ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania.
Mkuu nilikuwa nakukubali sana kwani japokuwa hatuko pamoja kiitikadi lkn kwenye ukweli ulikuwa unaongea kweli. Lkn hivi sasa umeanza ku comments pumba yaani huna tofauti na kina Bia yetu, Mama D na Wapuuzi wengine.Ni kweli makamu mwenyekiti wa Chadema ni chizi fulani!
Tuje tupinge nini au mmekaliliKuna watu watakuja kubisha na kupinga...japo hakuna jambo la kupinga hapo..! We subiri. CDM akili zao wanazijua wenyewe.
Unaijua malunga bwasheeTukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Up dates;
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.
Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.
Maendeleo hayana vyama!
Sipajui bwashee!Unaijua malunga bwashee
Hiyo sehemu ndio kitovu cha mapato ya halmashauri ya mji kahama,kuna mashine za kukoboa nafaka zaida ya 200....hapo alipozindua nyuma yake ziko mashine hizo ila barabara hakuna ni mahandaki tupu malori yanashindwa kuingia humu ndani wakti kwa siku halmashauri inakusanya zaidi ya 7m kama tozo za mchele na pumbaSipajui bwashee!
Bora hao ambao akili zao wanazijua wenyewe kuliko wewe na wote wanaofanana na wewe hamna akili hata kidogo mko kama mandondocha tu kwani unajadili jambo ambalo halipo.Kuna watu watakuja kubisha na kupinga...japo hakuna jambo la kupinga hapo..! We subiri. CDM akili zao wanazijua wenyewe.
Kwani Makamu Mwenyekiti wa Chadema ni mtawala? Ulevi wa mataputapu unakushushia hadhi sana.Ni kweli makamu mwenyekiti wa Chadema ni chizi fulani!
Achana na hilo popoma mkuuMkuu nilikuwa nakukubali sana kwani japokuwa hatuko pamoja kiitikadi lkn kwenye ukweli ulikuwa unaongea kweli. Lkn hivi sasa umeanza ku comments pumba yaani huna tofauti na kina Bia yetu, Mama D na Wapuuzi wengine.
Umegundua nn Bwashee?? Dereva analiyumbisha lori wenye mteremko wenye utelezi wewe unashangilia na kuwabeza/kejeli wanaomrekebisha aache mbwembwe juu ya maisha ya watu??
Vipi hap hayo magari hayawezi kugongana?Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Up dates;
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.
Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.
Maendeleo hayana vyama!
HaituhusuTukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Up dates;
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.
Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.
Maendeleo hayana vyama!
Kunenge amekuachia huru?Haituhusu