Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV.

Up dates;

Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya.

Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka.

Maendeleo hayana vy
OK
 
Wazungu wanatafutana baada ya kuchanwa live!

Aione Robert Amsterdam.
Mtaa kijani,mkumbuke Ninani mwenye uhitaji kutoka wapi,hata mamba akishiba ana kuwa mjusi, ila akiwa najaa atakula chochote hata inzi. Shauri yenu.
 
Back
Top Bottom