Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Yule hakuwa RaisMbona Dr Mpango kastaafu? 🐼
Mungu ni mwema alimchukua mapema.Najiuliza hili swali mara nyingi.
Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili?
Je yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama Rais mwenzie kwenye TV?
angesema hajamalizia SGR
Najiuliza hili swali mara nyingi.
Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili?
Je, yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama Rais mwenzie kwenye TV?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
🤔 🤔 🤔Katiba ingekuwa ishasinginwa, sasa hivi tungekuwa tunatamba na miaka 7 kama kwa Tolu
Mbuge angekuwa ndio CDF, Pengine Jafo angalikuwa PM kuanzia mwaka huu…
🤣 🤣 🤣Mwamba alikwisha sema mapema Hana plan ya kuongeza muhula muda wake ukifika ataawachia wengine . Mwamba hakuwa na tamaa ya madaraka na aliwai kusema urais is terrible task
🤣 🤣 🤣angesema hajamalizia SGR
aaaaahhhhhhaaaaahhh. Ingekuwa imeisha.angesema hajamalizia SGR
Kwanini?Sema kumpata mrithi wake ndiyo ingekuwa kazi!