Pre GE2025 Rais Magufuli angekuwepo angestaafu Oktoba mwaka huu. Je, angekubali kustaafu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katiba ingekuwa ishasinginwa, sasa hivi tungekuwa tunatamba na miaka 7 kama kwa Tolu

Mbuge angekuwa ndio CDF, Pengine Jafo angalikuwa PM kuanzia mwaka huu…
Mbuge alishastaafu na amefarki.
 
T
Tungemuomba au tungemlazimisha aendelee mitano au mikumi tena πŸ˜³βœ…πŸ‘ !
 
Ingenoga sana. Utasikia karibu CCM kumenoga.
Mimi humfagilia mtu binafsi afanyaye mema kwa Nchi bila kujali yeye ni wa Chama gani !
Kwa sababu Chamani huko ni kama kokolo inabeba kila kitu siku hizi πŸ™„πŸ˜³ !
 
Asingekubali kustaafu yule angefia tu madarakani kama ilivyotokea
 
I
Asingekubali kustaafu yule angefia tu madarakani kama ilivyotokea
Ingependeza sana maana mtu akikaa muda mrefu kwenye madaraka na anajua atafia pale hawezi kuwa na vitamaa tamaa vya kujilimbikizia mali πŸ˜³πŸ™„

Hii Demokrasia ya miaka mitano Uchaguzi kisha baada ya miaka kumi anakuja Rais mwingine mimi huwa sioni nini hasa faida yake !
Kwa sababu hata matunzo yao na mafao yao na familia zao ni mzigo mzito kwa Wananchi wa kwenye Nchi zetu zinazoitwa Nchi masikini !

Kama anapatikana Kiongozi anayeongoza vizuri kwa kutumia sheria vizuri na kuifuata Katiba bora itakayo kuwa imepatikana bila upendeleo wowote hakuna sababu ya kuweka ukomo wa URAIS wa miaka 10 !

Kama anaongoza vizuri na anaziangalia vizuri mali za Nchi aachwe aendelee tu mpaka mwisho wa maisha yake huku akiwa anatayarishwa mwingine wa mfano wake 😳 !

Uongozi ni kipawa haupatikani kwa mtu anayepigiwa kura tu 😳
Wengine wanaweza wakapigiwa kura nyingi au kura kidogo lakini hawana vipawa na wakawa viongozi 😳!
Au nasema uongo ndugu zanguniii πŸ˜³πŸ˜³πŸ™„πŸ™„ !
 
Kama sera ya Nyerere ya ujamaa ingefanikiwa nafikiri hata huu mfumo wa vyama vingi usingekuwepo na hata ukomo wa madaraka usingekuwepo na basi wangetokea viongozi aina ya Museveni
 
Kama sera ya Nyerere ya ujamaa ingefanikiwa nafikiri hata huu mfumo wa vyama vingi usingekuwepo na hata ukomo wa madaraka usingekuwepo na basi wangetokea viongozi aina ya Museveni
Wakitokea viongozi kama Museveni na kama Nchi itakuwa na maendeleo mazuri na Haki ikitamalaki kila nyanja kwani kuna Ubaya gani mtu mmoja akikaa madarakani kwa muda mrefu ???!
Je kwani kubadili badili wapangaji wa kukaa Ikulu kila baada ya miaka mitano au kumi kunaleta tija gani kwa Nchi hizi zinazoitwa masikini ???!
Tuwe wakweli tu !
Uongozi ni kipawa mwenye kipawa cha uongozi akae tu pale juu mpaka ionekane kweli sasa ameishiwa na hicho kipawa πŸ˜‚πŸ‘πŸ™Œ !
Ni maoni yangu tu alakini !
Freedom of expression πŸ€£πŸ€£πŸ™
 
Huyo aliyevuruga uchumi nani anataka?
 
Hii kuachiana awamu ni ile wale keki ya taifa , maana Kila mpangaji pale Ikulu anakuja na sera zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…