Rais Magufuli anzisha television ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa sababu kuu tatu au nne muhimu zifuatazo ..

Kwani Channel Ten ni mali ya nani ?
 
Acha kukariri UPUMBAVU sio unafugia nywele tu hilo bichwa.
Watanzania mmekuwa wengi mpaka hamfahamiani !!
Not the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.

#ChangeTanzania
 
Tv za chama wanazo, redio za chama wanazo na magazeti pia wanayo.
Labda ungeshahuri waweke nembo na rangi, maana ndio kilicho baki tu.
 
Tv za chama wanazo, redio za chama wanazo na magazeti pia wanayo.
Labda ungeshahuri waweke nembo na rangi, maana ndio kilicho baki tu.
Lakini ni kama nilisikia Chanel ten imenunuliwa na serikali siyo chama,kwa magazeti sawa nalijua Uhuru magazine nililinunua Dodoma
 

Mkuu ni Bange / Bangi hizi hizi za Tanzania unazovuta au ni 'Kitu' chetu kile cha Malawi?
 
Jamaa nakufananisha na mtu aliaye nyikani maneno mengi kumbe unataka kibarua.ila nisikupuuze unaweza kushangaa ghafla umeitwa magogoni
 
Jamaa nakufananisha na mtu aliaye nyikani maneno mengi kumbe unataka kibarua.ila nisikupuuze unaweza kushangaa ghafla umeitwa magogoni
Ishaalah na Iwe hivyo Ila siyo magogoni tena ni Chamwino.
 
Mkuu u
 
Tunataka TV na radio yenye nembo ya chama,hizo zingine ni Mali ya serikali chama chochote kikiingia kinatumia japo siombei ila ikiwa na nembo ya nyundo na jembe hiyo ndiyo TV na redio ya chama
Kijana una umri gani?
 
TV zote zao, Wasanii wa kwao, malori ya kubebea watu Yao tena unataka waongeze TV ?fungulia TBC muda wote Yuko mubashara utamwona pasipo Shaka.
 
Ccm ndio inamiliki Chanel 10
Hata hilo hulijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…