Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

Rais anachemka kwa kutosemea hawa jamaa wa NIDA, zoezi hili linaenda taratibu sababu ya hawa wapuuzi wa NIDA wananchi wa vijijini wanasumbuka mno sijui kwanini mradi mkubwa wa hivi uendeshwe kijinga kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Subirini vituko siku yakuzimwa..zitazimwa hata zilizosajiliwa....subirini
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subirini vituko siku yakuzimwa..zitazimwa hata zilizosajiliwa....subirini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hilo liko wazi ndugu ukitaka kujua ukweli, tafuta card ya voda iliyokwishasajiliwa mpigie mwenye namba ya voda inaanza sauti kuwa 'laini yako haijasajiliwa kwa alama ya vidole kama inavyotakiwa kisheria.....'

niliudhika nikawapigia eti najibiwa samahani hiyo sauti imewekwa kimakosa lkn baadae wataitoa. nikamuuliza dada pamoja na wasomi wa it mlionao wameshindwa kuweka mfumo thabiti wa kutifautisha cards zenye usaili na zisizosajiliwa iki kutuondolea kero ya kusubiri dk nzima kupisha tangazo lenu? alibaki kuuma midomo.

nahisi site tutapigea pini watuambie tena tukaunge foleni maduka yao awamu hii tukiwa na kitambulisho na barua ya kiapo cha mahakama. huwa najisemea tu, teknolojia inatukimbiza tofauti ma mwendo wa gari letu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko kwenye lait traki kuelekea uchumi wa katikati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya viwonders hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…