balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Nilikuwa nataman wanizimie basi tena rais kashanichomolea betri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi ambao hatuna Muda wa kwenda kusajili leo Wala kesho tunacheeeeeka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe rais naye Airtel! Maskini TTCL! [emoji16]
nyoka hana tako
Ordoabbchao /heggelian dialectical in the makingKama kawaida
Tengeneza tatizo halafu Tatua..
Sasa yule waziri aliyejitutumua kuwa tarehe 31 ni mwisho na serikali haitaongeza siku ataweka wapi sura yake.
Kama vipi iwe Teua Tengua
Watu ni waoga kupima lakini wakimuona Rais wao anapima live watapata ari.Mmh Dada Sky fafanua hapo aende kupima au atangaze kua watu wapime afya zao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu ni waoga kupima lakini wakimuona Rais wao anapima live watapata ari.
...nilidhani ingependeza zaidi kama mheshimiwa angeyaishi maisha ya mwananchi Wa kawaida anayetafuta kuandikisha no take japo kwa masaa Matatu tu kwenye foleni ndio ningemuelewa kidogo!Hizo siku ishirini nina wasiwasi wataongeza tena, unless hao NIDA watoe vitambulisho/ namba kwa waombaji wote, tena ndani ya siku hizo, hadi wale waliopanga foleni kujiandikisha sasa hivi, na wale watakaokwenda kesho na keshokutwa na.........!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba Rais ahamasishe watu kupima HIV kwa mfano huu.
Ili mpate commission? Nasikia manesi wakipeleka watu kupima kuna commission.
Anza na wazazi wakoTunaomba Rais ahamasishe watu kupima HIV kwa mfano huu.
Kivipi wakati taarifa zote ziko kwenye kanzi-dataSubirini vituko siku yakuzimwa..zitazimwa hata zilizosajiliwa....subirini
Aiseee!Mheshimiwa sikuizi anafanya kazi TCRA ama..?
Kwanini aongeze yeye mbona atachoka sana wangemsaidia Tu wateule wake
Unawajua Wanasiasa Wewe??Kama kawaida
Tengeneza tatizo halafu Tatua..
Sasa yule waziri aliyejitutumua kuwa tarehe 31 ni mwisho na serikali haitaongeza siku ataweka wapi sura yake.
Kama vipi iwe Teua Tengua
Humu Humuhaya wanyonge tunakutana wapi tufanye maandamano ya kumpongeza Rais wetu
Sent using Jamii Forums mobile app