Aisee, vikao hivyo ni SIRI hata minutes zake ni miongoni mwa highly classified documents. Hakina serious agenda atikayo jadiliwa live.
Kila siku ni mambo ya kipuuzi tu, yasiyoongeza mapato, tukio kama hili, kuna haja gani ya kulipeleka mubashara?Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na Redio mbalimbali nchini.
=========
Kikao cha baraza kinaanza kwa kiapo cha Dkt. Mwinyi kama mjumbe wa baraza la mawaziri mbele ya Jaji mkuu wa Tanzania, Dkt. Ibrahim Juma na kuwa mjumbe Rasmi wa Baraza la Mawaziri.
Rais Magufuli anampongeza kwa kuapa na kumkaribisha kwenye kikao, Rais Magufuli anawakaribisha wajumbe wote na kuwapongeza kuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.
Mbona uchaguzi haukuwa live? Mbwembwe za vikao vya mawaziri hali ya kuwa mlijipachika madarakani wenyewe hatuzitaki! Ingelikuwa tuliwachagua hapo sawa! Lakini kwa vile mlituibia hatuna hamu na lolote mtakalolifanya.Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na Redio mbalimbali nchini.
=========
Kikao cha baraza kinaanza kwa kiapo cha Dkt. Mwinyi kama Mjumbe wa Baraza la Mawaziri mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Dkt. Ibrahim Juma na kuwa mjumbe Rasmi wa Baraza la Mawaziri.
Rais Magufuli anampongeza kwa kuapa na kumkaribisha kwenye kikao, Rais Magufuli anawakaribisha wajumbe wote na kuwapongeza kuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.
Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri, ila rais wa Tanzania siyo mjumbe wa baraza hilo bali ni Mwenyekiti wa baraza. Hii ni kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ya nwaka 1977.
Lakini interesting, ni kwamba rais wa Zanzibar, ni mjumbe wa baraza la mawaziri la JMT, impliedly, rais wa Zanzibar katika JMT ni waziri wa Zanzibar.
Sijui waandishi wa Katiba ya JMT, 1977 walikuwa na lengo na au maana gani.
Lakini ajabu nyingine, Katiba ya Zanzibar ya 1984 toleo 2010, inasema Zanzibar ni nchi na ina rais, ila Katiba ya JMT, rais huyohuyo anatambuliwa Kama Waziri, impliedly, Waziri wa Zanzibar.
Ninafikiri tuna haja ya kusawazisha haya Mambo. Ni mengi.
Waziri Mkuu wa JMT hatambuliki Kikatiba huko visiwani, lakini pia, Katiba ya JMT inamtambua Waziri Kiongozi wa Zanzibar, wakati Katiba ya Zanzibar haimtambui maana hicho cheo kilifutwa 2010.
Katiba ya Zanzibar inawatambua Makamo wa Kwanza na wa Pili wa Zanzibar wakati Katiba ya JMT haimtambui hilo Jambo.
Sasa sijui, kiitifaki Makamu wa rais wa JMT akiwa pamoja na hawa Makamo watatambulikaje.
Lakini pia rais wa Zanzibar anakuwa anaapa mbele ya Majaji Wakuu wawili, ameapa mbele ya Jaji Mkuu Zanzibar kuwa rais wa Zanzibar, na anaapa kwa Jaji Mkuu wa JMT kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri. Labda ni sawa; lakini, mbona Makamu wa rais hali kiapo mara mbili ilihali naye ni mjumbe wa cabinet?
Katiba hizi zinahitaji mapitio ili zilinganishwe mana Sasa ni muda mrefu Katiba ya JMT haijarekebishwa since 2008 ambapo ilirekwbishwa.
Kabla ya 2008 ilirekwbishwa 2005, 2002, 1998, nk.
zanzibar ni koloni letu mkuu

tarehe kama ya leo Zanzibar ilijuunga na UNITED NATIONS 16-12-1963.Sema na Waziri wa Zanzibar, Ndugu Hussein Mwinyi
Nimekaa kwenye tv kuona hiyo historia ikiandikwa Msigwa amekata matangazo, swali mlikuwa mnamlaghai nani?Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na Redio mbalimbali nchini.
=========
Kikao cha baraza kinaanza kwa kiapo cha Dkt. Mwinyi kama Mjumbe wa Baraza la Mawaziri mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa. Ibrahim Juma na kuwa mjumbe Rasmi wa Baraza la Mawaziri.
View attachment 1651393
Jaji Mkuu Profesa Juma akimwapisha Dkt. Mwinyi kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri
Rais Magufuli anampongeza kwa kuapa na kumkaribisha kwenye kikao, Rais Magufuli anawakaribisha wajumbe wote na kuwapongeza kuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.
Anakula kiapo ?Rais Magufuli leo ameshuhudia Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi akila kiapo kuwa mjumbe wa Baraza la mawaziri mbele ya Jaji mkuu Prof Juma.
Hili ni takwa la kikatiba linalomtaka Rais wa Zanzibar kula kiapo kabla ya kuanza kuhudhuria vikao vya baraza.
ππππππ Ila nimecheka aiseeeRais Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania
Anatufanyizia Kazi
Nasema Uongo Ndugu Zangu
kweli akili tatu kwani ameapishwA na Nani apoYani inamaana pale JPM anaweza akamkoromea ama kumpuuza Mwinyi..the same kwa waziri Mkuu nk.
Anaongea Na Wale!!!ππππππ Ila nimecheka aiseee