MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Upuuzi tu, hakuna siri yoyote ya maana hapo."Kwa vyovyote vile Sitotoa siri za baraza la mawaziri"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi tu, hakuna siri yoyote ya maana hapo."Kwa vyovyote vile Sitotoa siri za baraza la mawaziri"
Elewa boss..kaapishwa na Jaji Mkuu..lakini kimpangilio yeye pale anakuwa Kama waziri tu siokweli akili tatu kwani ameapishwA na Nani apo
okayRais Magufuli leo anaongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri baada ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV
Updates;
Viongozi wote wameshaketi ukumbini akiwemo makamu wa Rais mama Samia, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi na Waziri mkuu mh Majaliwa.
Doooh[emoji3][emoji3][emoji3]Nilistuka nikahisi labda kikao cha kwanza cha Baraza la Malaika