Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 324
- 649
Ufuta tena..basi anaenda kuharibu na huko tena..yani huyu jamaa anapenda watz tuwe wanyonge ili atunyonge zaidi..
Achana na hayo mazao utatutia umasikini zaidi..
watanzania ganiHongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
watanzania gani
Ufuta tena..basi anaenda kuharibu na huko tena..yani huyu jamaa anapenda watz tuwe wanyonge ili atunyonge zaidi..
Achana na hayo mazao utatutia umasikini zaidi..
heli walioshikwa kiuchumi kuliko walioshikwa kiakili ( botnet)Jamaa amewashika mpo mnapuyanga mtandaoni tu
kuwa na adabu hata kidogoAtachomoa betri kama alivyofanya mwaka jana...chi.zi sio wa kumwamini.