Rais Magufuli aongoza kikao cha viongozi wanaohusika na zao la korosho

Rais Magufuli aongoza kikao cha viongozi wanaohusika na zao la korosho

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
324
Reaction score
649
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019.

jpm.jpg

Chanzo: Umoja Tv
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
 
Duh biashara kama Wana panga mkakati wa kwenda vitani

Ova
 
Ufuta tena..basi anaenda kuharibu na huko tena..yani huyu jamaa anapenda watz tuwe wanyonge ili atunyonge zaidi..

Achana na hayo mazao utatutia umasikini zaidi..
 
Jamaa amewashika mpo mnapuyanga mtandaoni tu
Ufuta tena..basi anaenda kuharibu na huko tena..yani huyu jamaa anapenda watz tuwe wanyonge ili atunyonge zaidi..

Achana na hayo mazao utatutia umasikini zaidi..
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Kazini
 
Atachomoa betri kama alivyofanya mwaka jana...chi.zi sio wa kumwamini.
 
NASHUKURU SANA SANA MH.RAIS WETU,NADHANI KIKAO HIKI KITAWAACHA WAKULIMA HAO KATIKA HALI YA ROHO SAFI NA NYEUPE.
 
Mikakati hii isiathiri taratibu za soko huria kama walivyofanya msimu uliopita
 
Kila la kheri, na sisi wadau wa mazao mengine tukumbukwe
 
mapepo yameshaanza kumpanda huyu, anasumbuliwa na roho ya uharibifu.
 
Mheshimiwa zao la korosho tungeliacha tu mana litatuumbua tena
 
Dah! nchi yetu weee! Yaani hii KORO SHOW bado tu ina trend? Sasa tukianza kuchimba mafuta vikao vitakuwa vingapi? Mkuu kalindimba hili zao anataka kulitakatisha kwa vikao?1
 
Back
Top Bottom