Rais Magufuli ashiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kuiombea nchi ya Kenya Mungu aiepushie Corona

Rais Magufuli ashiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kuiombea nchi ya Kenya Mungu aiepushie Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Magufuli ameshiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kitaifa yaliyofanyika nchini Kenya kuliombea taifa hilo Mungu aliepushie ugonjwa wa Corona.

Maombezi hayo yaliyofanyika Ikulu ya Kenya yalishirikisha viongozi wote wakuu wa nchi hiyo na Rais Magufuli alishiriki akiwa nchini Tanzania.

Chanzo: ITV habari

My take; Mungu endelea kumbariki zaidi na zaidi Rais Magufuli

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom