Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Uamuzi mzuri sana!,haiwezekani watu Fulani waendelee kuturudisha nyuma tulikotoka sababu ya ushabiki WA kitoto
 
Kwani usicho elewa nini? Yes campain kwenye vyombo vya habari na siku kadhaa kabla ya mechi kuwe na vipeperushi nk. .... inawezekana mkuu
Haitasaidia kitu chochote kwa sasa ni kupewa adhabu tu ndiyo wataelimikia hukohuko haitijiki hata elimu ya chekechea kwa mtu kujua kufanya hivyo vitendo ni ushenzi.
 
Naomba rekodi ikae sawa timu iliyowahi kukimbia uwanjani wakati huo NI simba ambayo mpaka wakati wa mapumziko walikuwa wamefungwa mabao mawili kwa bila,walipokwenda kwenye vyumba vya ndani ya uwanja hakukurudi tena uwanjani .HIYO ndiyo stories.
Na wewe weka rekodi sawa. Timu zilienda mapumziko zikiwa hazijafungana. Wakati mashabiki wanasubiri timu zirejee uwanjani kuanza ngwe ya pili, Simba wakaweka mpira kwapani wakatimua mbio!
 
Hii nchi hii

acha tuu

waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Kwani hukumuona msanii wenu jana,kaachia mdomo kama chatu anatega wadudu baada ya simba kusawazisha
Unamchagulia mtu jinsi y kushangilia?uko kma mwanamke wa kiswahili mpiga danga ili ale.Yako yamekushinda unabaki kushadadia vy watu.
 
Sasa hapo Yanga inaadhibiwa kwasababu gani? Kitendo cha kuzuia mapato ya Yanga kitawapa kiburi Simba ambao bila shaka wangekuwa tayari kugharamia uharibifu uliofanywa na mashabiki wao. Anyway, Azam wametengenezewa fedha za uwanja.
 
Hapa naona Serikali nayo ikipoteza mapato ....

Simple and clear ilitakiwa aliyeusika atoe pesa uwanja urekebishwe
 
Kwan Yanga nao walingoa viti? Kwa nini adhabu hii imeihusisha Yanga? Kutaka kufurahisha wote hata km haileti maana? Simba ndio walifanya vurugu, Yanga haihusiki! Hivyo adhabu iwahusu Simba wenyewe!
 
Sasa hapo Yanga inaadhibiwa kwasababu gani? Kitendo cha kuzuia mapato ya Yanga kitawapa kiburi Simba ambao bila shaka wangekuwa tayari kugharamia uharibifu uliofanywa na mashabiki wao. Anyway, Azam wametengenezewa fedha za uwanja.
Nape kasema kuna milango ya kuingilia uwanjani ambayo ilivunjwa kwa upande wa yanga na simba. Sidhani kama Yanga watahusilka na yaliyotokea ndani ya uwanja.
 
Wakati Al marhum Mzee Karume alipokuwa Rais wa ZNZ aliamuru timu ya Mwadui waondoke haraka ZNZ kwa kucheza rafu uwnjani.Mpira ulikuwa bado kwisha wakapelekwa Airport moja kwa moja bila ya kupitia hotelini
Mmmmmmmm!!!
 
Donald Trump, ulisema Africa bado tunahaja ya kutawaliwa, nilikuelewa sana. Hebu njoo utawale bongo tu, sio Tanzania nzima. Kuna tatizo sana pale
 
Siku hiyo waliharibu mali za uwanja kwa kiwango gani?
 
Anaetakiwa kulipa ni TFF maana wao ndio waliweka refa mbovu
Afu serikali nayo ijiulize hivyo viti kwanini vinangoka kirahisi hivo
 
bora waje uwanja wa bandari temeke ...ni mzuri maana hauna viti..umezungukwa na mawe wachezaji wakizingua mnaanza nao tu
 
Toka lini Uwanja wa kichina ukawa imara? Viti na waya zilizounganishwa ni kama biskuti na ukijigeuza kwa mdadi tu kinabanjuka halafu eti kiti kimoja ni laki mbili? Au ndio fursa imejitokeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…