Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Mh. JPM kaza hivo hivo, Nidhamu imekua zero siku hizi
 
Nilisikia uingereza ufaransa na ubelgij wanapoishi waafrika wengi wanachemsha maji ya kunywa.

Cleanliness is next to Godliness. Siyo tu kuabudu hadharan usifiwe mcha mungu
Kwa Uingereza ni uongo kwa maji ya kunywa. Waafrika wengi wanaishia kukaa kwenye council flats labda mtu skilled labour apate kazi atakuwa na uwezo wa kununua nyumba.
 
Subiri team KASKAZI wanakuja na matusi baada ya kushindwa UKUTA.
Mimi ni Kama Mtu wa Ukawa Lakini Sidhani Ukawa ambaye ana akili Timamu atampinga Rais kwa Jema. Don,t get it Wrong hata kwa Mema kuna Mawazo Tofauti ila Kuna Mengine Ni obvious! Kama Hili
 
Sawa uwanja si wa kwao,kuna shida gani
Na nyie chadema mjenge ofisi zenu,ufipa majirani walikua hawana amani na ukuta wenu
Kwahiyo viti vilivunjwa kwa sababu CHADEMA hawana ofisi ama kweli akili ni nywele nawe unazako
 
Kwa Uingereza ni uongo kwa maji ya kunywa. Waafrika wengi wanaishia kukaa kwenye council flats labda mtu skilled labour apate kazi atakuwa na uwezo wa kununua nyumba.
unaishi huko nini besti? Kuna mtanzania ananyumba zone B
 
nchi hii inanishangaza sana makosa afanye simba analazimishwa kuunganisha eti na yanga ajabu ya dunia kama mageti ni kosa la wao serikali
 
Kosa alilofanya mkude ( kumpiga mtama refa) na kupelekea kulimwa red card ndiyo kilichopeleke uvunjikaji wa amani, hivyo TFF inapaswa imfungie kucheza soka maisha, hakuna kuzungusha zungusha maneno apo!
papason kaka mimi ni Simba lkn kitendo cha Mkude kumzonga refa ndicho kilichosababisha hamasa ya mashabiki Kung'oa viti uwanjani. Ni vzr wachezaji wa Simba wafundishwe psychology ya mpira ili kuepuka kuingia ktk mitego ya kulimwa red card kila tunapukutana na Yanga. Mkude kama nahodha wa timu alipaswa kuwatuliza mashabiki majukwaani na kuwatuliza wachezaji wenzake ndani ya uwanja.
 
Mimi ninaishi Boko best, wana zone one -six, labda ulimaanisha zone 2. Niliishi huko late 90 to early 2000.
asante ni zone two nakumbuka. Halaf nasikia thamani ya nyumba inategemea na zone. Ulikuwa unasoma uingereza. Mimi napenda sana English with British accent natamani niongee iyo lafudhi yao lakin kamwe haitatokea. Napenda sana kuangalia sky news online nakusoma daily mail na the sun
 
Nilisoma University of East London, nilikaa Peckham ni zone two lakini kwa wachovu na kodi ilikuwa nafuu. Nyumba ni kwa zone pia maeneo yao posh kama West London kuanzia Kensington mpaka Richmond huko ni kwa matajiri, wamatumbi si wengi labda waarabu, na warusi.
 
hahaha
 
Kiswahili kipana sana sikupata kujua ya kwamba neno "kuchamba/kuchambisha" lina maana zaidi ya zile tulizo zizoea...
 
Kwa hili sidhani kuna mtu ataliunga mkono maana ni upuuzi. Na si hilo tu mimi pia huwa nakerwa na kitendo cha baadhi ya abiria wanaotumia usafiri wa treni kuchana viti kwa viwembe.

 
Nape unatakiwa kutoa maamuzi ya haki na sio ushabiki. Unapozuia mapato ya Yanga kwa sababu zipi!!! Unapo generalise kuwazuia Simba na Yanga kwa makosa ya mashabiki wa Simba sio tu unaonyesha ushabiki wako Simba bali chuki yako dhidi ya Yanga. Acha TFF watumie kanuni zao zilizopo.

Kama Nape ataendelea kuwaadhibu wana Yanga kwa kosa la wana Simba. Naomba viongozi wa Yanga watangaze kwa wana Yanga nchi nzima kuwa NAPE NI ADUI NAMBA MOJA WA YANGA.

Yeye NAPE asipotezee matatizo yaliyojitokeza kwa kushindwa kwa mitambo ya elektroniki kufanya kazi siku ya mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…