unaboaSubiri team KASKAZI wanakuja na matusi baada ya kushindwa UKUTA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaboaSubiri team KASKAZI wanakuja na matusi baada ya kushindwa UKUTA.
Kwa Uingereza ni uongo kwa maji ya kunywa. Waafrika wengi wanaishia kukaa kwenye council flats labda mtu skilled labour apate kazi atakuwa na uwezo wa kununua nyumba.Nilisikia uingereza ufaransa na ubelgij wanapoishi waafrika wengi wanachemsha maji ya kunywa.
Cleanliness is next to Godliness. Siyo tu kuabudu hadharan usifiwe mcha mungu
Mimi ni Kama Mtu wa Ukawa Lakini Sidhani Ukawa ambaye ana akili Timamu atampinga Rais kwa Jema. Don,t get it Wrong hata kwa Mema kuna Mawazo Tofauti ila Kuna Mengine Ni obvious! Kama HiliSubiri team KASKAZI wanakuja na matusi baada ya kushindwa UKUTA.
Kwahiyo viti vilivunjwa kwa sababu CHADEMA hawana ofisi ama kweli akili ni nywele nawe unazakoSawa uwanja si wa kwao,kuna shida gani
Na nyie chadema mjenge ofisi zenu,ufipa majirani walikua hawana amani na ukuta wenu
unaishi huko nini besti? Kuna mtanzania ananyumba zone BKwa Uingereza ni uongo kwa maji ya kunywa. Waafrika wengi wanaishia kukaa kwenye council flats labda mtu skilled labour apate kazi atakuwa na uwezo wa kununua nyumba.
Mimi ninaishi Boko best, wana zone one -six, labda ulimaanisha zone 2. Niliishi huko late 90's to early 2000.unaishi huko nini besti? Kuna mtanzania ananyumba zone B
Mkuu, mi nilidhani kakosea, kumbe!!!? Haa ha haKumbe kuswap ni kuchambisha!! Kiswahili bahari
papason kaka mimi ni Simba lkn kitendo cha Mkude kumzonga refa ndicho kilichosababisha hamasa ya mashabiki Kung'oa viti uwanjani. Ni vzr wachezaji wa Simba wafundishwe psychology ya mpira ili kuepuka kuingia ktk mitego ya kulimwa red card kila tunapukutana na Yanga. Mkude kama nahodha wa timu alipaswa kuwatuliza mashabiki majukwaani na kuwatuliza wachezaji wenzake ndani ya uwanja.Kosa alilofanya mkude ( kumpiga mtama refa) na kupelekea kulimwa red card ndiyo kilichopeleke uvunjikaji wa amani, hivyo TFF inapaswa imfungie kucheza soka maisha, hakuna kuzungusha zungusha maneno apo!
asante ni zone two nakumbuka. Halaf nasikia thamani ya nyumba inategemea na zone. Ulikuwa unasoma uingereza. Mimi napenda sana English with British accent natamani niongee iyo lafudhi yao lakin kamwe haitatokea. Napenda sana kuangalia sky news online nakusoma daily mail na the sunMimi ninaishi Boko best, wana zone one -six, labda ulimaanisha zone 2. Niliishi huko late 90 to early 2000.
Nilisoma University of East London, nilikaa Peckham ni zone two lakini kwa wachovu na kodi ilikuwa nafuu. Nyumba ni kwa zone pia maeneo yao posh kama West London kuanzia Kensington mpaka Richmond huko ni kwa matajiri, wamatumbi si wengi labda waarabu, na warusi.asante ni zone two nakumbuka. H alaf nasikia thamani ya nyumba inategemea na zone. Ulikuwa unasoma uingereza. Mimi napenda sana English with British accent natamani niongee iyo lafudhi yao lakin kamwe haitatokea. Napenda sana kuangalia sky news online nakusoma daily mail na the sun
hahahaNilisoma University of East London, nilikaa Peckham ni zone two lakini kwa wachovu na kodi ilikuwa nafuu. Nyumba ni kwa zone pia maeneo yao posh kama West London kuanzia Kensington mpaka Richmond huko ni kwa matajiri, wamatumbi si wengi labda waarabu, na warusi.
Fujo ni tabia ya wapinzani mimi sio mmoja wao
Kiswahili kipana sana sikupata kujua ya kwamba neno "kuchamba/kuchambisha" lina maana zaidi ya zile tulizo zizoea...View attachment 410879 Kupitia Waziri mwenye dhamana ya Michezo Mh.Nape Nnauye leo akiwa ndani ya uwanja wa Taifa kuangalia uharibifu uliofanyika ktk mechi ya Simba na Yanga,Nnauye anasema jana alipigiwa simu na Mh.Rais JPM na akawa amekasirika sana kwa kitendo kilichofanywa na mashabiki wa pande zote mbili,upande wa nje karibu mageti nane ya upande wa Simba na Yanga yamevunjwa na ndani upande wa Simba kuna viti karibu 1782 zimeharibiwa.
Ghalama ya kila kiti ni shilingi laki mbili,hivyo kwa jumla ya ghalama ya viti tu bila mageti ni karibu milioni 300.Mh.Nape Nnauye anasema Rais amekasirika sana kwa kitendo hicho na alitaka adhabu iwe kali zaidi lkn wakaamua kama serikali ni kufungia Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka hapo serikali itakaposema vinginevyo.Pia serikali imeamua kuzuia mapato yote ya Simba na Yanga mpaka hapo watakapothibitisha kulipa uharibifu wote uliofanywa na mashabiki wao.
Mh.Nnauye anasema wataenda mbele zaidi kwa kuweka kamera uwanjani ili waweze kunasa sura za mashabiki watakaokuwa wanafanya vitendo vya uharibifu.
Chanzo kikubwa cha vurugu katika mechi ya jana ilikuwa ni mambo mawili;kwanza ni mfumo wa kadi kufeli,kadi nyingi "ukichambisha" zilikuwa zinasema kadi fake na hapo mtu katoka kununua kwenye kituo halali na kwa watu halali,na kadi nyingine zinasema huna salio la kutosha.Na hata ukienda kwa polisi basi unaambulia kirungu au kofi kwa kudhaniwa ni "usanii"
.Hali hii ndio ilisababisha watu waanze kuvamia mageti kwa kuona hakuna namna.Kadi umekata na uwanjani usiingie.Serikali imtazame upya mzabuni aliyepewa kazi ya kuuweka mfumo wa kielectroniki ambaye majaribio yake ilikuwa ni mechi kubwa ya Simba na Yanga.Mfumo ulionyesha kushindwa kabusa kabisa.Mpaka saa kumi jioni,upande niliokuwepo watu karibu 500 kadi zao zilikuwa zinagoma.
Sababu ya pili ni Refa Saanya.Huyu maamuzi aliyoyafanya anastahili adhabu.Hili si la kuongelea sana maana lipo mikononi mwa bodi ya ligi,TFF na Chama cha Waamuzi.
Kwa hili sidhani kuna mtu ataliunga mkono maana ni upuuzi. Na si hilo tu mimi pia huwa nakerwa na kitendo cha baadhi ya abiria wanaotumia usafiri wa treni kuchana viti kwa viwembe.Imeelezwa Kuwa Jana Rais Magufuli ameghadhibika sana na Kufoka, Kutokana na Uharibifu Uliofanywa Uwanja wa Taifa na Mashabiki wa Simba na Yanga.
Inanitia Hasira sana Kwa Miafrika Kutaka Maendeleo Lakini Sio Wote Wengine Ni Kama Manyani, Kila Kitu Kizuri Wataharibu. Mfano Nilipokuwa Nikisoma Azania Miaka ya 1989-92 Tulikuwa na Shida Kubwa sana ya Vyoo na Maji. Basi watu wa Denmark kwa Kutumia Shirika Lao la Danida, Wakatujengea Vyoo vizuri na Mabomba ya Maji Masinki, Na Kuweka Shule Mapaa Mapya, Na Kupaka Rangi, Lakini Mwezi haukuisha Utakuta Mishetani isiyojali Imejaza Kokoto na Mawe kwenye Vyoo, Imevunja Koki za Mabomba ya Maji. Imechora Grafidi Kutani, Na Kupasua Vioo Kwa Mawe. Iibakia Nusu hivi Nije Shuleni Na "Kisu Nichome" Hii Mimbwa Nilivyokerwa!
Rais Hapa Hasira yake Naungana Naye na Namwelewa sana, sana, Ila asiwe na Reaction ya Kama Mimi Nilipotaka kuja na Kisu shuleni! Simba na Yanga sidhani wanaweza Kuwakontrol Mashabiki wao, au sidhani Kama wao ndio wanawatuma Kufanya Huu Ushenzi. Mimi Nilidhani, asiruhusu Hasira yake ailekeze Vibaya. Ila from Now On, Waweke adhabu Kali, Na Ikitokea Mtu akifanya Ushenzi wa aina Hii, Iwe ni Kunya katika Vituo vya Mabasi, Iwe Ni kuvunja Viti vya Stadium au Kuharibu shule. Kama Ni mtu Mzima, aende Jela Miaka 20 Bila Huruma, sio rahisi Kukamata wote lakini kama 10 wakikamatwa Ready hand na Kufungwa watatoa somo Nchi Nzima.
Na kama Ni mwanafunzi wa Form 1 na Kuendelea na anavandalize (haribu) Shule. Huyu Ni Kumfukuza na asikanyage shule yoyote Milele, Wengine watapata somo.
Mimi Nampinga Rais Kwa Udictator wa Kisiasa Lakini Kwa Hili Namkubali kwa 1000,000%. Magufuli Hajui Tu watu hatumchukii, Na akiamua Kuweka Nchi ya haki, Na Kuruhusu Uhuru wa Kidemokrasia, 1)Hata shidwa 2020, 2) Atakumbukwa Miaka 2000 Ijayo 3) Atafanikiwa sana na hata wapinzani watamheshimu na Kumsaidia.
Hana haja ya Kuvumilia Ujinga, Anatakiwa Ajenge Nchi Fair, Na Watanzani wajisikie Uhuru. Upepo Utabadilika! Nguvu sio Kuwavuta watu Mh. Rais! Nguvu Ni Kuwafanya watu Kuvutiwa na Wewe na Kukufuata Kila Uendako. Nguvu sio Kuogopesha Watu Mh Rais, Nguvu Ni Kuwafanya watu wakupende, Wakuheshimu Mpaka Waingiwe Hofu ya Kukukosea. Nguvu sio Kuwalazimisha watu Kufanya Uyafanyayo Mh. Rais Nguvu Ni Kuwafanya watu wayapende Uyafanyayo Na Kwa Msukumo Binafsi wakuunge Mkono! Mr. President Do What is Right, Utafanikiwa. It is very hard when you have such Great power to do right to those who sometimes wish you Ill and demagogue against you! But Great people don't opt the easy way out!
Imeelezwa Kuwa Jana Rais Magufuli ameghadhibika sana na Kufoka, Kutokana na Uharibifu Uliofanywa Uwanja wa Taifa na Mashabiki wa Simba na Yanga.

View attachment 410879 Kupitia Waziri mwenye dhamana ya Michezo Mh.Nape Nnauye leo akiwa ndani ya uwanja wa Taifa kuangalia uharibifu uliofanyika ktk mechi ya Simba na Yanga,Nnauye anasema jana alipigiwa simu na Mh.Rais JPM na akawa amekasirika sana kwa kitendo kilichofanywa na mashabiki wa pande zote mbili,upande wa nje karibu mageti nane ya upande wa Simba na Yanga yamevunjwa na ndani upande wa Simba kuna viti karibu 1782 zimeharibiwa.