walikuwa hawajafunganaNaomba rekodi ikae sawa timu iliyowahi kukimbia uwanjani wakati huo NI simba ambayo mpaka wakati wa mapumziko walikuwa wamefungwa mabao mawili kwa bila,walipokwenda kwenye vyumba vya ndani ya uwanja hakukurudi tena uwanjani .HIYO ndiyo stories.
Hii tabia ya bila Simba na Yanga inaniumiza sana kwamba TFF haina chanzo wala haina mpango wa kubuni mbinu yoyote ya kuingiza mapato zaidi ya Simba na Yanga!? Kwa mtaji huo uharibifu utaendelea sanaAlichonifurahisha nape kuwapiga simba na yanga kutumia uwanja huo naona kama anamsusia boss mshahara maana bila timu hizo tff haina mapato
Weka sawa yanga hakuna mwaka ilifika Uwanjani kecheza na Simba alafu wakatoa timu, ila nakumbuka Simba hawakurudi Uwanjani baada ya mapumziko ii ilikua mwaka 1991 na mbaka wanagomea mchezo timu hizo zilikua hazija Fungana.
Yanga walikuwa na geti lao maalumu la kuingilia?Yanga walivunja geti wakati wanaingia na walipuliza sawa kwenye vyumba
2020 watabadili msimamo!
Mmmmmhhhh manji ndo kang'oa???Alipe Manji na refa wake
Hahaaaa refa nae ni binadamu unless we sio mwanamichezoYaani Nape ameona kuvunjwa kwa viti ila hajaona lile bao la mkono? au kwa sababu yeye ndio muasisi wa bao la mkono.😎
Jamaa hajielewi nadhani achana naeunaboa
Boko ipi nije nikutembelee huenda ni majirani basihaya magengeni etcMimi ninaishi Boko best, wana zone one -six, labda ulimaanisha zone 2. Niliishi huko late 90 to early 2000.
[emoji1] [emoji1] mkuu , hata kwenye mabasi ya kichina Yu Tong, viti vimelegea sana, ila ukikin'goa na kukirusha nje au kwa dereva safari yako yaweza ishia kituo cha polisi cha karibu ukiwa una maumivu mwili mzimaToka lini Uwanja wa kichina ukawa imara? Viti na waya zilizounganishwa ni kama biskuti na ukijigeuza kwa mdadi tu kinabanjuka halafu eti kiti kimoja ni laki mbili? Au ndio fursa imejitokeza?
nanKufungia timu kutumia uwanja sio sawa. Mashabiki ndio wanatakiwa wafungiwe. Timu zicheze bila mashabiki. Hiyo ndio adhabu tosha kwa mashabiki.
Hiyo Taifa Stars yako inacheza hapo Uwanja wa Taifa mara ngapi kwa mwaka? Hizi ndizo AKILI mbovu ambazo kila kukicha huwa ' nagombana ' nazo humu JF. Labda kwa faida yako tu na wale ' wavivu ' wenzio wa KUFIKIRI ni kwamba Kiufundi kabisa ' uimara ' wa Uwanja wowote hasa katika zile ' nyasi ' zake pia hutegemea kutumika mara kwa mara. Mtafute hapo ulipo ' Mtaalam ' yoyote wa masuala haya ya Uwanja akuelimishe zaidi juu ya matumizi ya Uwanja wa kuchezea mpira.