Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Naomba rekodi ikae sawa timu iliyowahi kukimbia uwanjani wakati huo NI simba ambayo mpaka wakati wa mapumziko walikuwa wamefungwa mabao mawili kwa bila,walipokwenda kwenye vyumba vya ndani ya uwanja hakukurudi tena uwanjani .HIYO ndiyo stories.
walikuwa hawajafungana
 
Alichonifurahisha nape kuwapiga simba na yanga kutumia uwanja huo naona kama anamsusia boss mshahara maana bila timu hizo tff haina mapato
Hii tabia ya bila Simba na Yanga inaniumiza sana kwamba TFF haina chanzo wala haina mpango wa kubuni mbinu yoyote ya kuingiza mapato zaidi ya Simba na Yanga!? Kwa mtaji huo uharibifu utaendelea sana
 
Matamko hayo wakati simba na yanga ndio wanaendesha tff kwa hayo mapato .kwa mfano azam walitaka mechi zake na yanga au simba zichezwe azam complex mbona tff wamekataa? Haya subiri uone mpambano
 
Weka sawa yanga hakuna mwaka ilifika Uwanjani kecheza na Simba alafu wakatoa timu, ila nakumbuka Simba hawakurudi Uwanjani baada ya mapumziko ii ilikua mwaka 1991 na mbaka wanagomea mchezo timu hizo zilikua hazija Fungana.

Simba alikuwa kashafungwa goli mbili kwa moja kama sikosei ndio kipindi cha pili hakurudi kiwanjani,haikuwa bila bila .
 
Leo arsenal wamefunga goli dk ya 92 na mfungaji amefunga kwa mkono lkn hatujaona viti kung'olewa
 
Wakati wa kampeni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivyo viti vimeng'olewa au kuvunjwa? Nijuavyo full paid kama kiti hakifai kabisa la sivyo una repairs tu... Bongo hesabu inazidishwa twice...
 
kuharibu uwanja wa taifa kwa sababu za kishabiki ni ujinga kabisa.
 
Hakufungwa mtu na Kulikua na mvutano mkubwa pale uwanjani kwenye Benchi la Simba, Baadhi ya wachezaji na viongozi wanataka wacheze wengine hawataki mwisho wa suku wakapanda gari lao wakaondoka. Iyo Mechi mimi mwenyewe nilikua uwanjabi, labda uniambie ile Mechi ya 1983 Yanga walipewa Penati Baada ya Twalibu hilal kuunawa mpira dakika za mwishomwisho, Wachezaji wa Simba walikataa Penati kupigwa na mpira ukaishia apo. ilikua goli la kaskazin Shamba la bibi.
 
Pongezi kwake Nape kwa maamuzi hayo. Tena wangepigwa mabomu wasione kabisa. Sipendagi ujinga mimi
 
Toka lini Uwanja wa kichina ukawa imara? Viti na waya zilizounganishwa ni kama biskuti na ukijigeuza kwa mdadi tu kinabanjuka halafu eti kiti kimoja ni laki mbili? Au ndio fursa imejitokeza?
[emoji1] [emoji1] mkuu , hata kwenye mabasi ya kichina Yu Tong, viti vimelegea sana, ila ukikin'goa na kukirusha nje au kwa dereva safari yako yaweza ishia kituo cha polisi cha karibu ukiwa una maumivu mwili mzima

Pili. uwanja ulijengwa kwa +-58m $ pamoja na viti. ... kile sio kiti kama cha bar ambacho kinauzwa Tsh 8500.
 
Mi naona mfumo badooo saaaana vile viti vina namba.... ingekuwa kila ticket ina namba ya kiti... na unaenda kukaaa kwenye kiti chakoo basiii..... watengeneze mfumo upya vizuriii
 
Hiyo Taifa Stars yako inacheza hapo Uwanja wa Taifa mara ngapi kwa mwaka? Hizi ndizo AKILI mbovu ambazo kila kukicha huwa ' nagombana ' nazo humu JF. Labda kwa faida yako tu na wale ' wavivu ' wenzio wa KUFIKIRI ni kwamba Kiufundi kabisa ' uimara ' wa Uwanja wowote hasa katika zile ' nyasi ' zake pia hutegemea kutumika mara kwa mara. Mtafute hapo ulipo ' Mtaalam ' yoyote wa masuala haya ya Uwanja akuelimishe zaidi juu ya matumizi ya Uwanja wa kuchezea mpira.



Kwani uwanja kama ule wa Wembley unatumuka mara ngapi.....? Au unamaanisha kuhost Cup finals & Mechi za The three Lions inatosha....?

By the way! Nani amekuambia kuwa Timu pekee hapa Tanzania ni Simba na Yanga?

Inamaana wakina JKT Ruvu na African Lyon hazina uwezo wa kufanya matumizi ya kile kiwanja...?

Eisshhhhhh!
 
Back
Top Bottom