Hata ukifunguliwa no bora wachezee JKT Ruvu na African Lyon tu.....Haipiti mwezi mmoja utafunguliwa
Kuufungia uwanja wa Taifa ni maamuzi ya kiprofesa Maana hapa nchini maprofesa ni watu wanaoongoza kwa maamuzi ya kipumbavu zaidi mfano yule profesa aliyejifungia pale Buguruni.
Timu unazozifungia zisiutumie uwanja wa Taifa ndizo zinazowamiliki wachezaji wanaolitumikia Taifa kwenye timu ya Taifa,itakuaje sasa na timu zikiamua kuzuia wachezaji wake wasitumike kwenye timu ya Taifa?Ikiwa timu zetu zikiichukulia marufuku hiyo positively,na zikaamua kuwekeza nguvu zao kwenye ujenzi wa viwanja vyao,uwanja wa Taifa unaweza kuwa gofu na kutumika kwenye matukio ya serikali tu.
Serikali lazima itambue kuwa hao inaodhani inawakomoa ndiyo wenye mpira wao,wakiamua na wao kutunisha msuli yanaweza kutokea makubwa zaidi.
Bila Simba na yanga hakuna mapato TFF watabana wataachia tuuHata ukifunguliwa no bora wachezee JKT Ruvu na African Lyon tu.....
Wahuni wabaki huko shamba la Bibi!
Haya sasa ndio mshapelekwa shamba la Bibi, uwanja ambao viongozi wenu hawakuutaka......Na bado ' tutang'oa ' sana tu na hivyo Viti vikiisha sasa ' tutang'oa ' hadi meno ya Marefarii na Washika vibendera. Martin Sanya na TFF ya Malinzi hili wanahusika nalo 100%. Tutaheshimiana sasa ' kudadadeki '.
DuuhWaziri Nape Nnauye amezifungia timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na serikali.
Hii ni kufuatia baadhi ya mashabiki kuvunja viti jana.
View attachment 410894
Tutaona!! Usipotumika na simba au chura Unadhani nani atatumia
Bila Simba na yanga hakuna mapato TFF watabana wataachia tuu
Kwani uwanja kama ule wa Wembley unatumuka mara ngapi.....? Au unamaanisha kuhost Cup finals & Mechi za The three Lions inatosha....?
By the way! Nani amekuambia kuwa Timu pekee hapa Tanzania ni Simba na Yanga?
Inamaana wakina JKT Ruvu na African Lyon hazina uwezo wa kufanya matumizi ya kile kiwanja...?
Eisshhhhhh!
Kwani uwanja kama ule wa Wembley unatumuka mara ngapi.....? Au unamaanisha kuhost Cup finals & Mechi za The three Lions inatosha....?
By the way! Nani amekuambia kuwa Timu pekee hapa Tanzania ni Simba na Yanga?
Inamaana wakina JKT Ruvu na African Lyon hazina uwezo wa kufanya matumizi ya kile kiwanja...?
Eisshhhhhh!
Uzuri shamba la bibi viti having'oki hivi ikianza figisu zinapigwa kavu kavu
Mapato yatapatikana palepale Shamba la Bibi.
Kama Taifa mlikuwa mnajazana wengi kwa kiingilio cha 7,000/= basi pale shamba la Bibi kila kichwa kinaweza kutozwa kiasi cha 10,000/= na mapato mazuri yakakusanywa.
Hilo halina shida sana!
Ha ha ha !!!Ushamba sana hawa Simba.................yaani hata wakipanda ndege....,,,viti wanang'oa
YANGA na SIMBA inabidi wawachangishe mashabiki wao ili kulipia uharibifu mkubwa uliofanyika Uwanja wa Taifa.
Kilichotokea siwezi kusema ni ushabiki bali ushamba uliopitiliza.
Ukiwa na mashabiki washamba haya ndio matokeo yake.
Watu wananlilia miundombinu ya uhakika michezoni, halafu timu hizi zinaingiza midudu ya washabiki ambao inaelekea hata shue ni hafifu.
Kwa bahati mbaya nashindwa kuelewa kitendo cha kunyofoa kiti na kukitupa uwanjani, kwa hai yoyote ile.
Je mtu huyo atafanya hivyo nyumbani kwake?
Au akipanda DART akiudhiwa atachoma moto gari la umma?
Kama huo si ushamba na utovu wa maadili, utakielezaje kitendo hicho.
Kwa kuanzia wanachama hawa wakatwe kodi kulipia uharibifu huo.
SIMBA na YANGA mnatakiwa kuwa na madarasa ya maadili kwa wanachama wenu.