Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Kuufungia uwanja wa Taifa ni maamuzi ya kiprofesa Maana hapa nchini maprofesa ni watu wanaoongoza kwa maamuzi ya kipumbavu zaidi mfano yule profesa aliyejifungia pale Buguruni.

Timu unazozifungia zisiutumie uwanja wa Taifa ndizo zinazowamiliki wachezaji wanaolitumikia Taifa kwenye timu ya Taifa,itakuaje sasa na timu zikiamua kuzuia wachezaji wake wasitumike kwenye timu ya Taifa?Ikiwa timu zetu zikiichukulia marufuku hiyo positively,na zikaamua kuwekeza nguvu zao kwenye ujenzi wa viwanja vyao,uwanja wa Taifa unaweza kuwa gofu na kutumika kwenye matukio ya serikali tu.

Serikali lazima itambue kuwa hao inaodhani inawakomoa ndiyo wenye mpira wao,wakiamua na wao kutunisha msuli yanaweza kutokea makubwa zaidi.

Kwa Taarifa yako Simba na Yanga hazina uwezo & vigezo vya kuzuia wachezaji wasichezee Timu ya Taifa.....?

Halafu ni nani amekuambia kuwa hata wachezaji wakizuiwa kucheza Timu ya Taifa hasara itakuwa upande wa serikali....?
Jitafakari upya na akili zako!

Ni bora waufungie haswaaa.... Maana watu waliendekeza bange sana.

Ule uwanja haukujengwa kwa ajili ya Simba na Yanga. Lengo la ujenzi wa Uwanja ule ni kufanikisha michezo ya riadha, kikapu, pete, na soka....

Kwani Wembley ilijengwa kwaajili ya Manchester United na Arsenal?
 
Na bado ' tutang'oa ' sana tu na hivyo Viti vikiisha sasa ' tutang'oa ' hadi meno ya Marefarii na Washika vibendera. Martin Sanya na TFF ya Malinzi hili wanahusika nalo 100%. Tutaheshimiana sasa ' kudadadeki '.
Haya sasa ndio mshapelekwa shamba la Bibi, uwanja ambao viongozi wenu hawakuutaka......

Nendeni pale mkaanze kung'oa cement kwenye majukwaa ili tuone ukomo wa hasira zenu kama zitafikia zile za Mkizi..

Pia, thubutuni kung'oa meno ya waamuzi kama kuna Mtanzania ana Jeuri kiasi hiko... Ndio mtajua kuwa Malinzi si mtu wa mchezo mchezo.
 
1475477745595.jpg
 
Bila Simba na yanga hakuna mapato TFF watabana wataachia tuu

Mapato yatapatikana palepale Shamba la Bibi.

Kama Taifa mlikuwa mnajazana wengi kwa kiingilio cha 7,000/= basi pale shamba la Bibi kila kichwa kinaweza kutozwa kiasi cha 10,000/= na mapato mazuri yakakusanywa.

Hilo halina shida sana!
 
Kwani uwanja kama ule wa Wembley unatumuka mara ngapi.....? Au unamaanisha kuhost Cup finals & Mechi za The three Lions inatosha....?

By the way! Nani amekuambia kuwa Timu pekee hapa Tanzania ni Simba na Yanga?

Inamaana wakina JKT Ruvu na African Lyon hazina uwezo wa kufanya matumizi ya kile kiwanja...?

Eisshhhhhh!

Rudia upya kusoma post yangu halafu hakikisha IQ yako imetulia nadhani utaelewa ninachomaanisha ni nini.
 
Uzuri shamba la bibi viti having'oki hivi ikianza figisu zinapigwa kavu kavu
 
Viti vya Uwanja wa Taifa vina vigezo stahiki kwa mujibu wa FIFA au UEFA?
Nimesikia kwamba gharama ya kiti kimoja ni Tsh. 200,000/- ambayo ni kama dola 80!
Niombe radhi kwa baadhi ya watu kuhusu nitakayoyasema hapa kwasababu najuwa watakuja juu!
Utafiti wangu mdogo tu umenipa taarifa zifuatazo kuhusu matatizo yaliyojitokeza katika uwanja huu ambao kusema kweli ni bado mpya kabisa:
1. Viti na masinki kwenye vyoo.
Sina hakika kama viti hivi vina ubora au vigezo vya UEFA/FIFA vya "vandal proof arena chairs"
2. Viti vile yawezekana kuwa havijakidhi vigezo vya FIFA/UEFA kwa uimara wake tafuteni viti aina ya CR4 kwa mfano. Hivi vimetumika katika baadhi ya viwanja vya Egypt, Libya, Morocco na Sudan
3. Naamini pia viti vile vilitoka China, na kwa utafiti wangu bei yake ni US dollars 5-10 au T Sh. 12,500/- hadi 25,000/-
4. K adhalika kuhusu fixtures za vyoo, siamini vinakidhi vigezo vya "vandal proof public toilet fixtures"
Nimelazimika kuyasema haya kwasababu tangu mwanzo ulipokuwa unajengwa uwanja huu nilibaini kwamba kulikuwa na ubabaishaji mkubwa katika maeneo haya.
 
unnamed%2B%252837%2529.jpg

YANGA na SIMBA inabidi wawachangishe mashabiki wao ili kulipia uharibifu mkubwa uliofanyika Uwanja wa Taifa.

Kilichotokea siwezi kusema ni ushabiki bali ushamba uliopitiliza.
Ukiwa na mashabiki washamba haya ndio matokeo yake.
Watu wananlilia miundombinu ya uhakika michezoni, halafu timu hizi zinaingiza midudu ya washabiki ambao inaelekea hata shue ni hafifu.
Kwa bahati mbaya nashindwa kuelewa kitendo cha kunyofoa kiti na kukitupa uwanjani, kwa hai yoyote ile.
Je mtu huyo atafanya hivyo nyumbani kwake?
Au akipanda DART akiudhiwa atachoma moto gari la umma?
Kama huo si ushamba na utovu wa maadili, utakielezaje kitendo hicho.
Kwa kuanzia wanachama hawa wakatwe kodi kulipia uharibifu huo.

SIMBA na YANGA mnatakiwa kuwa na madarasa ya maadili kwa wanachama wenu.
 
Hapana. Hapa ni kuangalia ni viti vya upande upi vimeharibiwa zaidi na ikiwa vinazidi 75% ya viti vyote vilivyoharibiwa basi timu husika inyang'anywe point 3 mara moja; pambavu!!
 
masopakyindi ya nini kujishushia hadhi namna hii! Udart ni mali ya umma?

Alaumiwe refa, alishindwa kuumudu mchezo.
Aadhibiwe TFF kwa kuweka waamuzi kimahaba.

Wakitwishwa mzigo huu nyekundu wataiita nyekundu, na njano wataiita njano.
Bila hivyo kila derby watapanga yao huku wakijua kabisa YANGA ZOLFALHALI, mbeleko pekee ndio itawasaidia.
unnamed%2B%252837%2529.jpg

YANGA na SIMBA inabidi wawachangishe mashabiki wao ili kulipia uharibifu mkubwa uliofanyika Uwanja wa Taifa.

Kilichotokea siwezi kusema ni ushabiki bali ushamba uliopitiliza.
Ukiwa na mashabiki washamba haya ndio matokeo yake.
Watu wananlilia miundombinu ya uhakika michezoni, halafu timu hizi zinaingiza midudu ya washabiki ambao inaelekea hata shue ni hafifu.
Kwa bahati mbaya nashindwa kuelewa kitendo cha kunyofoa kiti na kukitupa uwanjani, kwa hai yoyote ile.
Je mtu huyo atafanya hivyo nyumbani kwake?
Au akipanda DART akiudhiwa atachoma moto gari la umma?
Kama huo si ushamba na utovu wa maadili, utakielezaje kitendo hicho.
Kwa kuanzia wanachama hawa wakatwe kodi kulipia uharibifu huo.

SIMBA na YANGA mnatakiwa kuwa na madarasa ya maadili kwa wanachama wenu.
 
Kwa nini wasilipe mashabiki, kwenye tiketi sitini namba si zinaonekana nani alikaa siti namba fulani? hakuana sababu ya timu kulipa sababu ya tabia mbaya ya mashabiki wasijiheshimu.
 
Mbn watu mnaona aibu kusema? walioharubu viti ni fans wa simba
 
Back
Top Bottom