Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

Umesahau kiongozi wao mmoja alisema huyo mtu anatuaibisha sana wana mashariki?
 
Reactions: BAK
Wampende kwa lipi? La kuwa dikteta uchwara kwa kudharau Bunge, katiba, mahakama, sheria za nchi na kujichotea pesa hazina kama zake bila idhini ya Bunge? Labda Wakenya wasiojitambua lakini wale wanaojitambua wanamuona kama dikteta uchwara mwingine kama M7, Kagame, Nkuruzinza, Mugabe etc.

Magufuli Effect Grabs Kenyan Imagination
Bado unakataa kwamba wakenya hawampendi bulldozer?[emoji14]
 

Kenya kainchi kadogo, zaidi ya nusu ni kame tupu, lakini kameshinda liinchi lote hilo lenu kwa kila kitu, mpo mnaorodheshwa kama maskini wa kutupwa duniani, siri ni kujituma. Ukiishi maisha ya kusubiria hadi rais aje ofisini ndio ujitume utalemaa kiakili.
 
Baada ya kukuthibitishia kwamba Magufuli anapendwa Kenya umeamua kutoka huko unajifanya unapotezea sio?, usiache kwenda kasarani kumuona Magufuli
Magufuli Effect Grabs Kenyan Imagination
 
kitovu cha siasa za aina gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…