Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli Effect Grabs Kenyan Imagination
Bado unakataa kwamba wakenya hawampendi bulldozer?[emoji14]
Ndiyo sababu rushwa, ukabila, mauaji ya kiholela na nepotism mumeshindwa kupambana navyo na vimekuwa ni identities ya Kenya, kama utawala wenu unaufanisi kwani tangu nchi yenu ijitawale imeshindwa kushughulika na hayo niliyotaja? hata sisi tulipokuwa na rais mzembe kama Uhuru Kenyatta mpenda safari za kila siku na mtu wa kuchekacheka na watu hovyo, rushwa ilikuwa inapanda kwa kasi sana, huyu amekuja ndani ya miaka miwili ameshusha rushwa toka 30% mpaka below 10% unataka ulinganishe na uongozi wenu ambapo rais alishakiri rushwa imemshinda?, acheni wivu na mkubali Magufuli ni mtu wa aina yake hapa Africa..acheni wivu wa kizamani, jifunzeni toka kwake nchi yenu itaangamizwa na rushwa.. ni wivu tu sio zaidi ya hapo.
That was December 2015... Leo tunaitafuta December 2017, halafu Nairobi siyo Kigali.Magufuli Effect Grabs Kenyan Imagination
Bado unakataa kwamba wakenya hawampendi bulldozer?[emoji14]
Baada ya kukuthibitishia kwamba Magufuli anapendwa Kenya umeamua kutoka huko unajifanya unapotezea sio?, usiache kwenda kasarani kumuona MagufuliKenya kainchi kadogo, zaidi ya nusu ni kame tupu, lakini kameshinda liinchi lote hilo lenu kwa kila kitu, mpo mnaorodheshwa kama maskini wa kutupwa duniani, siri ni kujituma. Ukiishi maisha ya kusubiria hadi rais aje ofisini ndio ujitume utalemaa kiakili.
Umesahau kiongozi wao mmoja alisema huyo mtu anatuaibisha sana wana mashariki?
Magufuli Effect Grabs Kenyan ImaginationWampende kwa lipi? La kuwa dikteta uchwara kwa kudharau Bunge, katiba, mahakama, sheria za nchi na kujichotea pesa hazina kama zake bila idhini ya Bunge? Labda Wakenya wasiojitambua lakini wale wanaojitambua wanamuona kama dikteta uchwara mwingine kama M7, Kagame, Nkuruzinza, Mugabe etc.
Dk.Magufuli akawe Sultani Kenya | Gazeti la RaiAthubutu kutia mguu kama hawajamzomea.
Kenya needs a 'Magufuli-like' President, Ngilu saysAthubutu kutia mguu kama hawajamzomea.
Lete mpya zinazoonyesha tofautiZilipendwa hizo weye! Nenda na wakati Acha kuwa nyuma mwaka mmoja au miwili iliyopita.
jisemee mwenyew tena ukome kutusemeleaRais Magufuli is our hero mpende msipende
Lete ushahidi, au sema kama wewe ni kundi la udakuIrrelevant on what is going on currently.
kitovu cha siasa za aina gan?Si Magufuli wala serikali ya Tanzania inayoweza kufanya ujinga huo wa kujiingiza kwenye siasa za nchi nyingine, ila kwa sababu anaogopeka sana, watu kama wewe lazima uweweseke, urafiki wake binafsi na Raila ndiyo unaowafanya upande wa Jubilee uweweseke, lakini kama nchi Tanzania ndiyo kitovu cha siasa kusini mwa jangwa la Sahara, haiwezi kufanya kosa la kimkakati kama hilo
Duuh.. [emoji1] [emoji1] [emoji1]kitovu cha siasa za aina gan?