Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

Ondoa tongotongo hilo machoni, Ratiba kama ilivyopangwa, mkuu wa nchi ndani ya Nairobi tarehe 28 November.
 
Wakenya wanamsubilia kumzomea kwa kuchoma na kushikwa mifugo yao na Mh Lowassa ndani sasa tuone nani ananguvu ya Umma au ubabe wa kijinga MUGABE atazomewa kuanzi boder hadi Nairobi.wamasai sio wajinga kama ccm


Swissme
Nonsense comments!! wakenya hawako nonsense kiasi hicho!!
 
Mbona amefuata watu maofisini kwa miguu kwa kuwashtukiza. Mbona hamjashangaa ila mmempongeza.
 
Kutembea kwa miguu ndo kufanya kazi kwa bidii ee!!!!!!??????
 
Did you invite both the President & PM of the Jewish state?
 
magu kasema ataenda. hujaona chapisho la msigwa?
 
Lazima aende...sujui kwanini walimchukia Nyerere?
Mmmh... Mi nimewaza vifaranga tu
 
Mbona amefuata watu maofisini kwa miguu kwa kuwashtukiza. Mbona hamjashangaa ila mmempongeza.

Hebu mnaisaidie labda nitakua niko nyuma kuhusu habari za kwetu na iwe nyie Watanzania ndio mnajua zaidi. Wapi imeandikwa alikwenda kwa miguu ili akashtukize. Maana ninavyofahamu na kama ilivyoelezwa kwenye vyombo vya habari Kenya ni kwamba, rais alishuka kwenye msafara baada ya kuona msongamano wa magari unazidi katikati ya jiji, hivyo akaamua kuwahi kikao kwa kutembea moja kwa moja.

Nimewaambia nyie kwamba rais wa Kenya hawezi kufanya mambo yasiyokua na tija ya kutembea na wana habari ili akashtukize watu kwenye maofisi yao, hayo hufanywa na watu wa level ya chini yake maana yeye anayo majukumu makubwa na muhimu, kuwaongoza Wakenya ni shughuli inahtaji utumiaji wa akili sio kukurupuka na kutapatapa bila kujua unakoenda au unakotoka.
Uhuru abandons motorcade, walks to Treasury for meeting - PHOTOS - Nairobi News
 
Wakenya wanamsubilia kumzomea kwa kuchoma na kushikwa mifugo yao na Mh Lowassa ndani sasa tuone nani ananguvu ya Umma au ubabe wa kijinga MUGABE atazomewa kuanzi boder hadi Nairobi.wamasai sio wajinga kama ccm


Swissme
toka nianze kuona post zako yaani wewe ni kilaza wa mwisho unawazaga upumbavu tuu kujiridhisha na nafsi yako yaani matoto ya nje ya ndoa haya yanataabu kweli kweli
 
https://www.facebook.com/Chapa kazi mzee, hivi baada ya kula kiapo Uhuru Kunyatta trip ya kwanza kwenda kuzurura ni nchi gani?
 
Mnamtamani kichinichini, the best president in Africa kwa sasa, hureeeeeee[emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Hakuna shamba la bibi. Diplomasia. Ya kuifadhi kwenu na karibu Kwa wengine. Kenya kuna Mashamba mengi. Ya Kenyatta. Moi.kibaki. nawengine.
 
Hana haya anaweza kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…