Hebu mnaisaidie labda nitakua niko nyuma kuhusu habari za kwetu na iwe nyie Watanzania ndio mnajua zaidi. Wapi imeandikwa alikwenda kwa miguu ili akashtukize. Maana ninavyofahamu na kama ilivyoelezwa kwenye vyombo vya habari Kenya ni kwamba, rais alishuka kwenye msafara baada ya kuona msongamano wa magari unazidi katikati ya jiji, hivyo akaamua kuwahi kikao kwa kutembea moja kwa moja.
Nimewaambia nyie kwamba rais wa Kenya hawezi kufanya mambo yasiyokua na tija ya kutembea na wana habari ili akashtukize watu kwenye maofisi yao, hayo hufanywa na watu wa level ya chini yake maana yeye anayo majukumu makubwa na muhimu, kuwaongoza Wakenya ni shughuli inahtaji utumiaji wa akili sio kukurupuka na kutapatapa bila kujua unakoenda au unakotoka.
Uhuru abandons motorcade, walks to Treasury for meeting - PHOTOS - Nairobi News